Hatimaye nimetemwa na singo mama

Kwa single mother hawawekagi kambi wenzio....ilitakiwa uwe unaikumbuka siku ukikaukiwa...
 
Ndio utafute kwingine ambako mtaanza wote 0-0, acha miteremko dogo, usivamie mahame ya watu, fyeka pori lako mwenyewe utengeneze himaya ya kudumu.
 
Mkuu ulitakiwa awe kakufanya ung'ae huku unatafuta spea
Sasa wew ulifikili utakaa nae siku zote?
 
Ushauri
Chukua kisu kata mbolooo yako uachane na zinaa na uasherati
Kwan toka uanze kuzini umepata faida gani hadi leo?

Kata mbolo fasta
 
Kwa nini na wewe usipambane Tigopesa, M Pesa, Airtel Money kwa uwingi maneno matamu. Single Mother amteme Huyo mtu wake arudi kwako Ujipatie Sifa
 
We jamaa hovyo kabisa
Single mother anakuachaje wakati sisi wametunganda kama kupe

Tatizo vichipsi zige vinawaponza
 
sasa unalialia nini..mwanaume halii kuachwa na mwanaume haacahgi ila anaingia mitini kimya kimya...we vuta wengine tu ye aendelee
 
Back
Top Bottom