boga la kiangazi
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 504
- 684
Salaam sana wakuu katika jf nizaidi ya miezi miwili sasa ambapo nilikutana na single mother fulani hapa kwa mtaa ambapo kiukweli nilimuelewa kwa kua alikua analipa yani full vigezo kuanzia sura na vingine vingi bila kusahau chura wa maana.
Baada ya mazoea ilifikia hatua ya kua wapenzi huku mzee nikijipatia mzigo murua uliopelekea perfomance yangu chaputa kupungua asubuhi hii inaanza nikiwa na hangover za kutosha huku pembeni kukiwa na bapa za k vant na jiran yake nyagi baada ya Jana kunitema eti wamerudiana na mchumba wake aliyekua amepoteza mawasiliano naye for a long time(siyo baba mtoto) so mm sina nafasi tena.
Nimepata stress yani cjui sababu ni hiyo tu au kuna kingine zaidi
wasalaam