Hatimaye nimerudiana na Ex wangu

Udomo zege huo
Nimejaribu kusoma kila makala kuhusu skills za kutongoza hola, nikavuta bangi hola nikawa naenda baa kunywa pombe ili niwe narudi na baamedi nako hola Sasa kimbilio langu ni mpenzi wangu kiukweli sitamuacha hata nikimkuta red handed
 
Bwege sana wewe
Unatulisha tangopori
 
ulitumia mbinu gani na mimi unipe maana kila nikitaka kurudi kwa x wangu mwili unaishiwa nguvu kabisa
Nilirudi nalia nakuomba anisamehe kwa kuahidi nitakaa mita 1.5 popote ilipo simu yake
 
Oyaa balance shobo, hajakuandikia uje kusoma wewe
Vijana Wana stress sana na hawana pakuzitolea nikuwaacha tu watoe sumu ili nafsi zao zipate utulivu. Tusipofanya hivyo rate ya vichaa itaongezeka which is bad for our Nation.
 
Nimechekaa mpaka basi safi mkuu wewe ndio mwanaume,
Pashaaa makabichi mix na viporo cha kale dhahabu bwana tena penz linakuwa taam mpaka raha wana hawajui tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…