Hatimaye nimepewa Permanent Residence

Mkuu vipi na hii ya kuzungumza ki Swedish tu ukiwa Sweden ni kweli kiingereza kwao ni lugha gongana kama hapa bongo ilivyo? Nisaidie jibu tafadhari.
asilimia kubwa ya raia wa nchi za skendinevia wanafaham English
 
Kuosha sahani mkuu ni shilling elfu hamsini kwa saa. NARUDIA KUOSHA SAHANI NI SHILLINGI ELFU HAMSINI KWA SAA
HIZO SAHANI ZINAOSHWA KWA MASAA MANGAPI? NA NI NYINGI KIASIGANI? Ulaya kwa kazi hizo huwezi kumiliki hata kitanda, mnaona nom kurudi bongo coz mliotuacha tushatusua kitambo....... nyie bakini kuolewa na vikongwe2
 
Hivyo sasa utabeba mabox kwa uhuru zaidi? (Just joking)
 
Yaani mtu mzima unashangilia na kuutangazia Ulimwengu ya kwamba umefutahi hatimaye umekuwa "Permanent Slave" huko Ughaibuni !!!???? Yaani unashangilia kuwa MTUMWA wa kudumu !!!???
Ama kweli mijitu ya Afrika tuna laana ya sayari zote. Pathetic!
Ni bora kuwa slave ugenini kuliko kuwa slave nyumbani

Hongera mkuu kwa kupata PR
 
Haituhusu ni yakwako hiyo....
 
Wewe mi mshamba na utaendelea kuwa mshamba maisha yako yote. Kumbuka hiyo elfu 50 kwa saa unalipwa huko Denmark na viwango vya maisha ni vya huko. Hiyo ni hela mbuzi kwa viwango vya huko.
Ni hela mbuzi kweli ila afadhali amepata hata hiyo kazi ya kuingiza hela mbuzi.hapa tz hata hizo kazi za hela mbuzi hakuna

Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
 
Unajivunia kuwa mtumwa naona!
 
Nashukuru kupata mwenyeji...nakuja huko soon
 
Baada ya kutujuza hayo unatushauri nini? Or what next?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…