F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,381
- 1,119
Mkuu bufa usione gereAisee so toka 2009 huijui bongo unaisha ughaibuni kama kibaka yani kwa kujifichaficha.
BarshiteSasa mnakimbia wote Tanzania mnamwachia nani wakuu??
Mnaondoka kabla hamjachukua Noah zenu daaah!!
Sawa mkuu Ushao ngozi nyeupe>?Mzuqa wanaJamvi!
Siyo big deal kivile ila am relieved.
Eventually these dudes (D Immigration) have granted me permanent residence. Ningeipata long time tu ila niliharibu kidogo kipindi cha nyuma.
Nilikuja Denmark early 2009 nililetwa hapa nilikuwa bado kijana mdogo sana.
Ukiondoa Denmark nchi nilizoishi nakufanya kazi skendinevia Sweden (Malmo), Norway ( Oslo, Bergen na Trondheim) na Icelend.
Hizi njemba zilidhamiria sana kunideport ila niliwashinda mahakamani.
Wengi hapa wanajua mimi ni Mgambia kwasabab ndio kampani yangu hadi Gambia na Senegal nimeshawahi kufika.
IT IS A SKILL TO BE PATIENT, LEARN IT!
Sky Eclat Bowie barafu mrangi Yamakagashi Al-Watan UncleBen (Che) Benny
Sioni gere bali nasema ukweli, naelewa adha ya kutafuta permit na furaha inayokuja nayo.Mkuu bufa usione gere
Post sent using JamiiForums mobile app
Mzuqa wanaJamvi!
Siyo big deal kivile ila am relieved.
Eventually these dudes (D Immigration) have granted me permanent residence. Ningeipata long time tu ila niliharibu kidogo kipindi cha nyuma.
Nilikuja Denmark early 2009 nililetwa hapa nilikuwa bado kijana mdogo sana.
Ukiondoa Denmark nchi nilizoishi nakufanya kazi skendinevia Sweden (Malmo), Norway ( Oslo, Bergen na Trondheim) na Icelend.
Hizi njemba zilidhamiria sana kunideport ila niliwashinda mahakamani.
Wengi hapa wanajua mimi ni Mgambia kwasabab ndio kampani yangu hadi Gambia na Senegal nimeshawahi kufika.
IT IS A SKILL TO BE PATIENT, LEARN IT!
Sky Eclat Bowie barafu mrangi Yamakagashi Al-Watan UncleBen (Che) Benny
Mimi nimeshaleta watoto wenye damu ya Norway watatu,maana hiki kizazi chetu kina laana sio bure,mtu amesoma mpaka PhD upeo wake wa kufikiri kama mtoto wa nursery schoolUsisahau kuchanganya damu, ila tunakuomba watoto walete huku Bongo maana tunakampeni ya kufuta hiki kizazi... Watoto wako wakifanya yao hapa basi angalau tunaweza tukaokota kizazi cha watu kama 50 wenye akili za wazungu. Pia ukipata nafasi Tutafutie mabinti kama 20-50 waje wabebe ujauzito huku na pia vidume 20-50 vije viache mimba huku angalau tupate akili mpya... Binafsi nimeshaleta wachina na waustralia kadhaa na si haba matunda nayaona..
Mimi nimeshaleta watoto wenye damu ya Norway watatu,maana hiki kizazi chetu kina laana sio bure,mtu amesoma mpaka PhD upeo wake wa kufikiri kama mtoto wa nursery school
mkuu nipatie namba ya demu wa kidenish.