Hatimaye nimepata Galaxy M20

Hatimaye nimepata Galaxy M20

Sorry mdau inatumia SIM card ngapi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ahaa!, kwasasa hakuna warranty maana hizi simu bado hazijaja officialy kwenye maduka ya Samsung.

Ni yale matolea ya India ambayo yamekuja kwa njia za Panya

Kwakua mm ntakuwa hapa mwanza kwa wiki 2, nimekubaliana na muuzaji hapa rocky city mall Endapo ikipa hitilafu ntarudisha au
Nikirudi Dar wana maduka yao mlimani city ntapeleka huko.

Yaani nimechukua kama kujitoa muhanga vile... hadi sasahiv sijapata tatizo lolote.
Highlife wanauza 500K 60k ungekunywa Supu.
 
Back
Top Bottom