kajojo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 2,946
- 5,487
Unaulizwa inahusu nin haujibu.Unasubir HONGERA ndo unajib
hahahahahaha we jamaa dah. ila naona kama imejieleza kua ni news and magazine hapo kwenye screen shot
Unaulizwa inahusu nin haujibu.Unasubir HONGERA ndo unajib
Hahahahaha, kwel mkuu tucjejaza uchaf kwenye simUnaulizwa inahusu nin haujibu.Unasubir HONGERA ndo unajib
Roho ya Kichawi mwanawane!Hizi native app hazina ufundi wowote hata ambaye hajui programming anaweza anaingia youtube tu jinsi ya kutengeneza blog kua app ya android
Ungesaidia kumpa suggestion ya kitu ambacho unadhani kitakuwa tofauti.kwan hamuwezi kibuni mambo mengine ukiondoa haya ambayo kila siku yapo.
Umeona hilo Asante.Appyet
Ilichukua muda gani kuwekwa play store?Haberizenu wadau wa JF
Kama Tittle inavyojieleza, nimeweza kutengeneza Android App na kuiweka Playstore
Waweza kuipakua hapa:- Hongoa Blog - Android Apps on Google Play
Then ukaleta marejesho hapa kulingana na jinsi ulivyoiona
Nawasilisha...![]()
Ww Mtanzania OG.....majungu no.1 mpongeze mwenzakoHizi native app hazina ufundi wowote hata ambaye hajui programming anaweza anaingia youtube tu jinsi ya kutengeneza blog kua app ya android
Mbona uelekezi wenzio maana naona wanakuulza tangu mwanzo huwajibu....umejitahidi keep it upUmefanyaje