Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,573
Kwann kasota mkuuHongera zake sanaaa. Ila kasotea miaka kumi na ushee?
So unaona id yake ya toka 2003?Kwann kasota mkuu
angewekeza mda huo katika ujasiriamali pengine leo hii angekuwa na viwanda kadhaa vya usindikaji na angetoa ajira kwa makumi ya vijana.So unaona id yake ya toka 2003?
Sijaelewa! 15 years?
Hatimaye ndugu yetu Pascal Mayala baada ya kukomaa kwa muda mrefu na Elimu ya Juu afanikiwa kumaliza shahada ya awali ya Sheria ya Chuo Kikuu Dar es Salaam.
HONGERA SANA MKUU View attachment 937263
angewekeza mda huo katika ujasiriamali pengine leo hii angekuwa na viwanda kadhaa vya usindikaji na angetoa ajira kwa makumi ya vijana.
shida yetu watz tunaamini sana katika kusoma ili siku moja uje kuwa promoted kazini au uje upate teuzi fulani za kisiasa.
ndio maana PHD nyingi za watz ni useless.
Ko ndo kaanza kusoma hapo udsm amaSo unaona id yake ya toka 2003?
Hiyo ni kweli kabisaWakati nasoma kuna mdada nlimburutaburuta mpaka akagraduate alikuwa na miaka 4 anasotea degree yake alishakata tamaa, kuna wengine wapo chuoni wao kila mwaka wanarudia wanahairisha kwa sababu za hovyo hovyo tetesi wakawa wanasema wapo vyuoni kwa kazi maalum wakimaliza kazi yao watagraduate huenda Paskali huyu mmojawapo.