Hatimaye ndege imeshindwa kuruka Precision air PW 413

Hatimaye ndege imeshindwa kuruka Precision air PW 413

Mbona ndege kama daladala la kwenda Gongo la Mboto au Mbagala?
Watu full kusimama.

Watanzania hawajui mbinu za kibiashara,
ni hatari sana kuwatangazia wateja wako kuwa ndege yako ni mbovu ilhali ni nzima.
Utajikuta unapoteza wateja na ndege zako zikaambulkia kupewa jina la mkweche wakati ni mpyaaaaaa uliziiingiza juzi kwa mbwembwe kutoka Ufaransa


naona kama watu wameshikilia chuma ama macho yangu jamani mnasimamisha abiria ??haahaaa
Nini PW NASIKIA BRITISH AIRWAYS IMEPAKI TOKA ASBH HOTL ZIMEJAA WATU KUFA MTU
 
Kamanda ni Mwanza watu tumeingia kwenye ndege tunajua tunapaa,Jamaa wakatangaza kuna hitilafu ya kiufundi tukashuka.Mara wakatutangazia imetengemaa kupanda si ndio nikakutana na kipara cheupe pee kumkaribia kumbe ni Jamaa(Gambazzz) na ukiniuliza amepitia wapi hata sijui.ufisadi mpaka kwenye usafiri??Au ni ya kwao mkuu?

Itakuwa alipitia VIP ndio maana haukumuona anavyoingia, ila iyo ni kiboko
 
hapa ndo mnapochanganya watu. Kichwa cha habari kipo Gongo la mBoto na content yenyewe ipo Kunduchi. Mpaka uje upate link too late.
Mnafanya maisha yanakuwa magumu kama hesabu za log kwa mwanafunzi wa chekechea jamani.
Arrrrggghhhhhhhhh...........
 
Thread ya kidaku. Ndege ilikua kweli mbovu. Wabongo bhana, kuendelea itakua ndoto kwa mtindo huu wa mtu kuanzisha hearsays then watu wanaamini na kuchangia kana kwamba ni kweli.
Namna hii inatisha sana.
 
Fast Jet wako mbioni kuongeza ndege nyingine

Itachukua sana muda hawa watoa huduma kutambua umuhimu wa kuwa na customer care nzuri. Wanaudhi kweli jinsi wanavyoendesha biashara zao.
Kungekuwa na airTZ labda unafuuu...........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom