Hatimaye Mjomba Afikishiwa Ujumbe......

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Baada ya Kupata Nauli Hivi Ndivyo Mjomba alivyofikisha Ujumbe..........
 
Nilipenda event yenyewe. Mjomba kaambiwa yeye analima wapi
 
Naona Mkuu wa Kaya amekula pozi kama mtu aliyevimbirwa makande!
 
Nilipenda event yenyewe. Mjomba kaambiwa yeye analima wapi
Mkulu hakumuona kwenye ule wimbo wa kuomba nauli? alitokea kijijini...
 
baada ya kupata nauli hivi ndivyo mjomba alivyofikisha ujumbe..........View attachment 48458

hivi mjomba atakumbuka kweli kile kilichompeleka mjini? Ujumbe aliokusudia kuupeleka ameusahau mchagoni. Nakumbuka siku anaenda alivaa lubega, sasa ameshafika huko kavalishwa kapelo kasahau kila kitu! Hakumbuki tena maisha ya kijijini na jinsi wapwa na ndugu zake tunavyotaabika!
 
Ujumbe wa kupangwa huu.....maandamano ya kupinga serikali ya kusindikizwa na Polisi badala ya kuzuiwa sijawahi kuyasikia Tanzania hii
 
kapelo imefunika akili yake yooote
 
huu nao ni ujumbe wa kumfanya muhusika mkuu acheke?
 

tumemuona na ******
 
Kama kwaida full kujichekesha hata kwenye serious issues km hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…