Hatimaye Mchezo wa kumkimbiza Mwizi Umefika Ukingoni Wanataka wasaidiwe !!

Pius J. Kiwarya Lema

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
1,097
567
Kuna MANENO yanayosemwa Na Watu wa Ccm humu Ndani kwamba Ukawa wameua Vita ya Ufisadi

kwa kumpokea Lowasaa kuwa Kugombea Urais 2015
Kinachokera wanadai Ukawa wamekosa ujasiri
kuwasema watuhumiwa wao Ccm.

waliowachagua kuongoza bunge Na serikali ,! Kwani Ccm wasiwaseme watu wao wanataka Ukawa wawasemee ??

Ule Mchezo wa Ccm wa kumkimbiza mwizi lakini hawamkamati uliwafanya Watu wadanganyike

Sasa Mashabiki wa Ccm kwa kuwa wanajua hawana
uwezo wa kupambana Na watuhumiwa wa ufisadi
waliopo humo Ndani Mwao wanalialia Na ukawa !

Lowasa yuko Ukawa Na alishawambia kama kuna kesi peleka mahakamani .!

Mimi nilihudhuria Mikutano
ya Dr WP Salaa aliowataja watuhumiwa wa
Ufisadi Mkubwa ndo walikuwa
wanamnadi Magufuli mpaka siku ya Mwisho. pale Mwanza !

Tuache Ubaguzi mpaka kwa watuhumiwa !

Ni wakati wa Ccm kupambana
Na Ufisadi moja kwa moja siyo kutipua majipu ?

Asante Kamanda Mbowe kwa kutuondolea usanii huu wa kumkimbiza mwizi !!!
"KLJP"
 
Lafudhi yako inaonesha unatoka Kanda ile ya Ukabila na Ukanda. Bahati mbaya mtu wako tumemkataa!!!
 
Hivi huoni aibu kukimbilia maswala ya ukabila ?

Lakini ashukuriwe Mungu aliye hai

Kwamba Mgombea aliyekuwa anaomba kura kwa misingi ya ukabila anaj likana !

Tembea Tanzania yote waulize watakwambia/wanamjua maana

kila siku walikuwa wanamsikia
kupitia redio na luninga akitumia lugha za makabila !

Na malipo yake Ni 2020

Una jingine ??
 
Kuna MANENO yanayosemwa Na Watu wa Ccm humu Ndani kwamba Ukawa wameua Vita ya Ufisadi

kwa kumpokea Lowasaa kuwa Kugombea Urais 2015
Kinachokera wanadai Ukawa wamekosa ujasiri
kuwasema watuhumiwa wao Ccm.

waliowachagua kuongoza bunge Na serikali ,! Kwani Ccm wasiwaseme watu wao wanataka Ukawa wawasemee ??

Ule Mchezo wa watuhumiwa Ccm wa kumkimbiza mtuhumiwa
Lakini hawamkamati uliwafanya Watu wadanganyike

Sasa Mashabiki wa Ccm kwa kuwa wanajua hawana
uwezo wa kupambana Na watuhumiwa wa ufisadi
waliopo humo Ndani Mwao wanalialia Na ukawa !

Lowasa yuko Ukawa Na alishawambia kama kuna kesi peleka mahakamani .!

Mimi nilihudhuria Mikutano
ya Dr WP Slaa aliowataja watuhumiwa wa
Ufisadi Mkubwa ndo walikuwa
wanamnadi Magufuli mpaka siku ya Mwisho. pale Mwanza !

Tuache Ubaguzi mpaka kwa watuhumiwa !

Ni wakati wa Ccm kupambana
Na Ufisadi moja kwa moja siyo kutipua majipu ?

Asante Kamanda Mbowe kwa kutuondolea usanii huu wa watuhumiwa kumkimbiza mtuhumiwa lakini hawamkamati !!!
"KLJP"
 
Kuna MANENO yanayosemwa Na Watu wa Ccm humu Ndani kwamba Ukawa wameua Vita ya Ufisadi

kwa kumpokea Lowasaa kuwa Kugombea Urais 2015
Kinachokera wanadai Ukawa wamekosa ujasiri
kuwasema watuhumiwa wao Ccm.

waliowachagua kuongoza bunge Na serikali ,! Kwani Ccm wasiwaseme watu wao wanataka Ukawa wawasemee ??

Ule Mchezo wa watuhumiwa Ccm wa kumkimbiza mtuhumiwa lakini hawamkamati uliwafanya Watu wadanganyike

Sasa Mashabiki wa Ccm kwa kuwa wanajua hawana
uwezo wa kupambana Na watuhumiwa wa ufisadi
waliopo humo Ndani Mwao wanalialia Na ukawa !

Lowasa yuko Ukawa Na alishawambia kama kuna kesi peleka mahakamani .!

Mimi nilihudhuria Mikutano
ya Dr WP Slaa aliowataja watuhumiwa wa
Ufisadi Mkubwa ndo walikuwa
wanamnadi Magufuli mpaka siku ya Mwisho. pale Mwanza !

Tuache Ubaguzi mpaka kwa watuhumiwa !

Ni wakati wa Ccm kupambana
Na Ufisadi moja kwa moja siyo kutipua majipu ?

Asante Kamanda Mbowe kwa kutuondolea usanii huu wa watuhumiwa kumkimbiza mtuhumiwa lakini hawamkaamati !!!
"KLJP"
 
Acheni u-nyumbu wandugu, mnaambiwa bunge wamekatisha matangazo ya moja kwa moja ili kuficha aibu, hivi TV ni TBC tu? Hata kama wakizuia hivi mambo yote wanayofanya ya manufaa lazima yaonyeshwe kwenye TV?
Kuna mambo mengi sana ya umuhimu yanajadiliwa kwenye vikao vya ndani vya kamati za bunge ambayo hayajawi kuonyeshwa lakini wabunge wetu wamekuwa wakijadili vizuri kwa ajili ya maslahi makubwa ya Tanzania bila kujali wananchi wanaona au la sasa haya machache ya MIPASHO na KEJELI ndo mnataka kuwaaminisha wananchi kuwa nchi imesimama kwa ajili hiyo.
Ukweli ni kwamba hawa wanasiasa wetu wanatuchosha akili wengine baada ya kuona JPM anafanya kile ambacho wezi wa CCM hawajazoea kukitenda wame-panic hivyo wanadandia kila kitu ili wapate huruma ya waTZ, sisi wananchi tunataka mikakati ya maendeleo na kutuondelea hizi kero za kila siku ikiwepo kufuja kodi zetu kwa matumizi mabaya. Mheshimiwa Mbowe na timu yako muungeni JPM mkono katika hayo mapambano acheni siasa kila mahali historia itakuja kuwaumbua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom