Hatimaye Mbeya kumetulia

Aanza kuwachanachana........... mpaka kieleweke.
 
Mnashangilia wakati wenzenu tayari wameshapata kipondo na wengine wamepoteza maisha! Ama kweli watu hamnazo kabisa.

Wewe naona hujui kuwa ukombozi huwa kuna watu wakujitoa sadaka kwa ajili ya wengine. Naona huijui historia ya ukombozi ilivyo. Huwa ni lazima wachache waumie ili kutokee mabadiliko bila hivyo usitegemee watawala watawasikiliza. Hata kama watu wameuawa na wengine kujeruhiwa lakini watawala wamenyosha mikono fuatilia nini wamekubaliana.
 
Muda huu mbunge wa chadema sugu ametangaza machnga wote kuendelea na biashara baada ya magigano ya siku mbili bahina ya machinga na police. Baada ya kikao kirefu kati ya mkuu wa mkoa, rpc,mbunge,mkurungenzi. Mambo yapo swari na vijana wanashangilia barabara nzima kwa maandamano ya amani........ Hii ni habari njema kwakweli.
 
Hata mimi nimefarijika kama Amani hatimaye imerejea.
 
sasa mbona heading inaonyesha kashawatoa? then habari inasema "kataka", tuache ushabiki uliopitiliza!
 
Li serikali kama la mazezeta vile. Haya majadiliano kama wangefanya kabla ya mapigano si ingeepusha shari? Wanasubiri wauwe kwanza halafu ndo wanafanya majadiliano? Wapuuzi wakubwa.
 

1. Hiyo ndiyo ilikuwa inatakiwa toka mwanzo, na si kufanya biashara bila mpango, kwa hiyo hapo inaonyesha wameufyata.

2. Watawachiwa kwa dhamana na watafikishwa mahakamani kama kawaida, kama unabisha kamuulize Lema.

3. Wanahamu ya kwenda India wakaonane na ndugu zao, si unawajuwa?


Hahahahahah, hali ilitulia mapema sana na Kandoro alishaongea na waandishi wa habari kabla Sugu kufika huko (na picha zipo hapahapa JF), Ustake ncheke.
 
tujuze ndugu yangu wameua wangapi????poleni jamani MUNGU awatie nguvu kwenye huu wakati mgumu
 
sugu is really an item in mbeya, aaaaaah? big up to him..
 
isije tena tunasikia mabomu yanatupwa mtaani kama ilivyokuwa arusha juzi kati
 
hili liwefundisho kwa viongozi ambayo wanachukua maamuzi ambayo awapimi impact yake kwa jamii.ocampo wa kwanza kumchukulia hatua hapa ni mkuu wa mkoa na kaimu kamanda aliye amuru askari wapige raia lakini wanasahau kuwa umma ukihamua hizo risasi zao zinaweza kuwa maji.ushaidi tosha ni pale ambapo polisi walishindwa,wakaja jeshi nao wamechemsha.
 
siasa bana bora nishangilie mpira na kucomment jukwaa MK stressfree..
 
Hizi ndio aina post zinazokera ,yaani vijiweni hatudatishi ki mizinguo namna hii!aargh!
 
Haitoshi kusalimu amri, Watekeleze yale yanayowezekana kwa wananchi, sio ubabe.
 
magamba banaa! paka watu waandamane ndo wanashika adabu yao!! kazii kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…