REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,918
- 14,896
Are you sure?mi nkiolewa sitaki kuzaa mapema..nataka niifurahie ndoa yangu kwanza..nimfurahie mume wa ujana wangu kama mwaka mmoja ndo nianze kujiachia mimba iingie..
Are you sure?mi nkiolewa sitaki kuzaa mapema..nataka niifurahie ndoa yangu kwanza..nimfurahie mume wa ujana wangu kama mwaka mmoja ndo nianze kujiachia mimba iingie..
Kiukweli huyu jamaa ni mshamba wa kudumu alafu vitu vingi anavyovifanya ni mambo ya kitoto.Huyu nae ndo wale wale washamba flani!!! yeye kila kitu cha chumbani anaweka mtandaoni