walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,796
- 5,520
Mkuu wala sijaipata bado haijaja sasa sijajua upande wake
Fanya kunitumia na mm mkuu
Fanya kunitumia na mm mkuu
Mkuu usinisahau ukiipata hiyo videoNaombeni mnitumie hiyo vídeo PM nna shida nayo kwaajili ya research
Tupo pamoja namimi unipe ukiipata natafuta kutoka JuziNaombeni mnitumie hiyo vídeo PM nna shida nayo kwaajili ya research
Iko wapi hiyo video? nifanyie wepesi tafadhali.
Maendeleo hayana chama na mm inihusu!maendeleo hayana chama
mkuu hebu angalia tena hili ni jukwaa la nini,ukitaka kula unaenda dining table,sasa kukuta mapoint ya maendeleo jukwaa hili ni kama kuamua kukojoa madhabahuniTz ya uchumi wa Kati bado sana kuifikia
Yaani tungekua tuna shahuku kiasi hiki kutafuta maarifa ya kutujenga na kusubutu kufanya tafiti na biashara , hakika tungekua mbali sana.
Cha ajabu kutwa nzima busy kupata habari za katikati ya mapaja na nyuma ya choo.
Huu uzi umenifanya kufikiria upya aina ya wana Jf wa nyakati hizi Kama wenautofauti na yule choko wa Insta...Jumalokole!!
MHmm ndio kwanza wanajaaa sanaWanaume wataenda sana kula chakula na kula mtaro
Tangia hapo mtu mwenye akili timamu kabisa na maadili hawezi kwenda kula kwa mtu najibedua hivi..Ameshajiharibia biashara yake ya chakula, nani ataenda tena kwenye sehemu ya mtu wa namna hiyo?
Tupo pamoja namimi unipe ukiipata natafuta kutoka Juzi