Hatimaye mama Maria Nyerere ampigia kampeni Magufuli

Mama Maria ametoka London last week kwa medical check up. Unategemea nini? Kwamba atachukua microphone na kusema CCM zii. ?Makongoro pia. Anakula kuku kwa mrija kwa ajili ya CCM. Mimi sasa hivi nafikria kwamba CCM itashinda. Please note sijasema nataka CCM ishinde. Nasema tu nadhani CCM itashinda.
 
Mama Maria ametoka London last week kwa medical check up. Unategemea nini? Kwamba atachukua microphone na kusema CCM zii. ?Makongoro pia. Anakula kuku kwa mrija kwa ajili ya CCM. Mimi sasa hivi nafikria kwamba CCM itashinda. Please note sijasema nataka CCM ishinde. Nasema tu nadhani CCM itashinda.

Hahahahaaaa asante kiongozi...,,,,watakuelewa baadae. Kwa hiyo ndo fidia ya kupelekwa London.......uonevu tu.
 
Kwa mara ya kwanza leo nimemuona huyu mama kwenye tv anashawishi et watanzania wampigie kura Pombe. Nimemchukia ghafla. Alitakiwa awe neutral mbele ya public kuhusu hili la uchaguzi. Abakie mama wa taifa na si mama wa ccm. To hell ccm.

Awe neutral kivipi wakati ni yeye ni ccm? Angemsifia lowassa ungetaka awe neutral? Kuwa neutral maana yake hata kura hatakiwi kupiga au wewe ulimaanisha nini?
 
CCM tayari wameshatengeneza video ya mama Maria Nyerere akiwaomba akina mama wotewampigie kura Magufuli. Video hii iko inasambaa Whatsup.

Kaongea mengi kuwa ni mchapa kazi na Mwadilifu. Swali langu kwa bibi angu mama Maria, ikiwa CCM itashindwa, heshima yote tunayokupa sisi wananchi itakuwaje? Maana yake wote watakaoongoza rohoni mwao watakuwa wanajua kabisa hukuwapenda ila basi.

Ni bora mama ungebaki neutral. Na ungejikita kutuombea tuchaguane kwa Amani ili uendeleee kuwa Mama wa Taifa.

Ila tutasamehe tukiamini imekulazimu, maana hakuna jinsi.

Tumemsikia,tumempuuza,sisi TUNACHUKUA,TUNAWEKA LOWASSA!!
 
Mwaka huu hata wakimfufua NYERERE hawatasalimika huu ni uchaguzi wa wananchi sio wala Nchi
 
leo katika hali ya kutukumbusha amani, upendo na utulivu ktk nchi yetu ametukumbusha alivyokua akifanya mwl nyerere. Ametukumbusha juu ya uchapa kazi, uwadilifu, utambuzi wa matatizo ya tanzania na jinsi ya kukabiliana nayo, uzalendo, utaifa na uwajibikaji wa dr jp magufuli. Amesema tuchukua fursa zetu kumpigia magufuli kura kwani ndiye mtu sahihi kuliongoza taifa letu.

Chagua magufuli ndie mtu sahihi kwa maendeleo ya tanzania.
 
Mimi mbona naona ni ukikisho jamaa ccm chali. Toka lini mama Nyerere anampigia mgombea urais kampeni?
Tena ingekuwa la maana amuombe mama Magufuli amsamehe mumewe kuliko kumpigia kampeni magufuli.
 
Mama anatumika bila kujua anzani yeye kuwa mke wa Raisi wa kwanza ndo hoja, nimemdharau sana huyu mama, bora angeedelea kukaa kimya tu, mbona mama Ben au Sit Mwinyi sijawasikia?
 
Back
Top Bottom