Hatimaye Magaidi wa Hamas wakiri Makamanda wao Mahiri waliangamizwa bila huruma huko Gaza!!!!

Hatimaye Magaidi wa Hamas wakiri Makamanda wao Mahiri waliangamizwa bila huruma huko Gaza!!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,929
Reaction score
6,030
Hamas inatangaza rasmi safu ya maafisa wakuu ambao waliangamizwa katika miezi ya hivi karibuni (kwa mpangilio kutoka kushoto kwenda kulia):

Abu Ubaida - Msemaji wa Hamas
Ra'ad Saad - Mkuu wa wafanyakazi wa uzalishaji
Hakim Alais (Abu Omar Al-Suri)
Mohammad Shabana - Amiri wa Rafah
Mohammad Sinwar - Ndugu wa Yahya na kamanda wa muda wa mrengo wa kijeshi

(Abu Ali)

IMG_4689.jpeg
 
All in all kila mwanadamu ataonja tu mauti. It is just the matter of time.
Maneno ya Mkosaji “ Sizitaki mbichi hizo” safari hii wamenyooshwa Acha tu mjifariji na kujipa moyo kwa maneno ya kila mwanadamu ataonja mauti.

Bora magaidi watangulizwe tu kuzimu wakafaidi wale Mabikira 72 walioahidiwa na mtume wao!!!
 
Hakuna udini hapo. Watu wameyakanyaga wenyewe myahudi hacheki na wowote.
 
Hamas inatangaza rasmi safu ya maafisa wakuu ambao waliangamizwa katika miezi ya hivi karibuni (kwa mpangilio kutoka kushoto kwenda kulia):

Abu Ubaida - Msemaji wa Hamas
Ra'ad Saad - Mkuu wa wafanyakazi wa uzalishaji
Hakim Alais (Abu Omar Al-Suri)
Mohammad Shabana - Amiri wa Rafah
Mohammad Sinwar - Ndugu wa Yahya na kamanda wa muda wa mrengo wa kijeshi

(Abu Ali)

Watachagua warithi wapya, hata hao walirithi baada ya watangulizi wao kuuawa.

Kuwapa Palestine Taifa lao huru ndio suluhisho pekee la kudumu la mzozo wa mashariki ya kati.
 
Watachagua warithi wapya, hata hao walirithi baada ya watangulizi wao kuuawa.

Kuwapa Palestine Taifa lao huru ndio suluhisho pekee la kudumu la mzozo wa mashariki ya kati.
Kuwapa taifa hao watu Israel itafanya "Grave Mistake" watu haohao mwaka 2005 waliachiwa Gaza na West-Bank matokeo yake wakagombana wakagawana Mwingine kachukua Gaza na mwingine kabuki na West-Bank.

Kosa alilolifanya Israel 2005 ndilo lililozaa Oct 07,2023 ambapo watu zaidi ya 1.200 na wengine 251 kutekwa nyara na magaidi hao.

Waarabu si watu hata wakipewa nchi watagombana tu wao kwa wao na kufanyiana ugaidi kama wanavyofanya Syria Iraq,Lebanon,Yemen na nchi zingine za kiislamu kama vile Iran,Pakistan, Somalia,Sudan,Nigeria na India(Kashmir).

Kwa taarifa yako tu Waarabu/Waislamu wakikosa adui wa nje wataanza kugombana wao kwa wao tu.

Miaka ya nyuma vibaka hao walikimbilia nchi za Ulaya na Marekani kwa huruma waliwapokea watu hao waliodai wananyanyasika na sheria zs kiislamu huko makwao. Sasa hivi wakimbizi haramu hao wanazaliana kama nzige huko na baadaya miaka 10 watawazidi hata wenyeji wa nchi hizo.

Sasa hivi ukitembea kwenye mitaa ya London na Washington utakutana na Wafuga Midevu na Majini wengi kupindukia na ndiyo wanaoongoza kufanya Maandamano yasiyo na tija ya FREE FREE Palestine huko.

Cha kushangaza kabisa wanadai hata kuzisilimisha nchi zao kwa nguvu na kuna maeneo walishakataza watu wasifuge nguruwe na wanalazimisha mambo yao ya kiislamu kwenye nchi zilizowapokea wakati wao tu Saudia huruhusiwi kutangaza Ukristo wala kujenga kanisa.

Wapalestina kuwapa nchi si suruhisho dawa yao ni Netanyahu tu naana yeye hajua kulea Pimbi na mkia wake!!
 
Maneno ya Mkosaji “ Sizitaki mbichi hizo” safari hii wamenyooshwa Acha tu mjifariji na kujipa moyo kwa maneno ya kila mwanadamu ataonja mauti.

Bora magaidi watangulizwe tu kuzimu wakafaidi wale Mabikira 72 walioahidiwa na mtume wao!!!
Mimi nimeongea kama binadamu nisiyefurahishwa na mauaji ya kipuuzi. Kuuondoa uhai wa binadamu siyo jambo la kupongezwa hata kidogo. Ni vizuri pia utambue kwenye jambo hili siegemei upande wowote.
 
Mimi nimeongea kama binadamu nisiyefurahishwa na mauaji ya kipuuzi. Kuuondoa uhai wa binadamu siyo jambo la kupongezwa hata kidogo. Ni vizuri pia utambue kwenye jambo hili siegemei upande wowote.
Ni ujinga na upumbavu kujifanya wewe huko upande wowote Wakati unajua kabisa Oct 07,2023 magaidi wa Hamas walivamia Israel na kuua watu 1.200 na wengine 521 kutekwa nyara..

Kwa maana hiyo umejitoa ufahamu kudai huko upande wowote? Wewe upo upande wa Magaidi husemi tu kwa sababu wameshindwa vibaya!!
 
Back
Top Bottom