LIWALONALIWE
Member
- Jul 29, 2012
- 69
- 18
Siku kadhaa zilizopita waziri wa fedha alifunga maduka kadhaa mjini Dodoma,Lakini baada ya wafanyabiashara hao kuwasiliana na viongozi wa umoja wa wafanyabiashara wa mkoa viongozi hao waliwasiliana na TRA na maduka yakafunguliwa siku ya pili yake bila kuwa na vifaa vya EFD.
Hii inamaanisha nini..?
Hii inamaanisha nini..?