Hatimaye maadui wamekuwa msaada, hakuna ajuae kesho yake

Cheef Baroka

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2019
Posts
490
Reaction score
1,019
Wakuu kuna viumbe wanaitwa Bodaboda. Nadhani wengi tunawafahamu sana. Kwa watumiaji wa barabara nadhani tunawafahamu zaidi. Namaanisha kwa kero na adha tunazokutana nazo juu yao.

Binafsi nimeathiriwa nao mara kadhaa ikiwemo kunigongea(kuvunja site mirrors zangu kadhaa)? Kugonga ndugu zangu (wapita njia) matusi, overtaking za ghafla na kupita mbele yangu kumeko nifanya mara kadhaa kudondoka mtaroni nikikwepa kuwagonga. Hayo kwa uchache yakiwepo mengine mengi yalonifanya niwe na fikra mbaya juu ya hwa viumbe na mara niwaonapo popote nakuwa makini zaidi nakuchukulia kama nimeona adui.

Juzi kati mida ya sa 12 nikiwa nimetoka job nikiwa mwendo mdogo mdogo kufika mwananchi foleni ikawa kubwa nikajongea hadi maeneo ya Matumbi nikaona si mbaya nichepuke mara moja (kupita service road) angalau nisogeesogee. Nikawa nachepuka narudi road nachepuka narudi road nilipokaribia Buguruni nikachepuka kwa speed niwahi kuvuka kabla trafki hawajaruhusu magari kutoka K/koo, nilipolikaribia daraja la juu la Buguruni nikawa naforce kurudi mainroad kumkimbia traffic officer hapo ndo nikajikuta nakutana roli ile kulikwepa kwakuwa nikamgonga bajaji na kwenda nae hadi kwenye zile bomba za barabarani zinazotenganisha barabara moja na nyingne akabamiza nakupinduka huku bajaji ikiwa haitamaniki na wale abiria wakijeruhiwa japo hakuna aliekufa.

Kwakuwa taa zilikuwa zimekwisha ruhusu hivyo gari zilikuwa zikimiminika nami nikaunga kuwahi kuvuka Tazara (Hapo ndo nikakuza tatizo) wananzengwe wakahisi nakimbia si wakaniungia. Nimekimbia nafika mchicha naona bajaji na Bodaboda kibao wameniungia nyuma ikibidi akili initume niache gari nikimbie wasijenidhuru.

Nilipo fika Karakana nikaingia njia ya juu nikapaki nikimbie kumbe Bodaboda wa pale wanaona ile movie nilisikia Bodaboda mmoja akisema kwa sauti kubwa brother Acha funguo kwa akili isio kuwa yangu nikarusha funguo bila kujua nampa nani na kwa lengo gani. Nimekimbia kama hatua kumi na tano nikasikia pikipiki zinakuja kwa kasi ila kuna moja iko mbele zaidi ilivyonikaribia akanambia brother panda watakuuwa nikapanda huku msururu wa Bodaboda zikitufukuzia. Akanipitisha njia ya juu kama unaenda Bombom kufika kwenye msikiti flan kwambele akaacha road then akaanza kuingia chocho za kiwalani mule hali ya hewa aisee apo roho akili na moyo vishasaliti mwili zimebaki nyama tu.

Yule jamaa akanizungusha vichochoroni huku milio ya pikipiki ikipungua japo kuna wachache bado wanakomaa na sisi tu kavuka kijumba flani akanishusha niingie ye akanyoosha apo ndo nikasevu.

Kwa uwezo wa Mungu kule nilikopaki gari wale Bodaboda wote walipitiliza baada yakuniona nimetoka kwenye gari nakimbia na baada ya kunikosa ndo wakawaza kurudi washambulie gari ndipo jamaa alieninyang'anya funguo akawa ashalitoa japo kuna waliomuona (wale wanaobakigi nyuma) ila wakatilia mashaka kuwa si lile gari maana aliomo ndani kuna wanaomjua (Bodaboda mwenzao).

Nilikaa pale nilipofichwa mpaka saa3 usiku najishika mfukoni simu nimeacha kwenye gari, nikavua nguo za juu nikabaki na vest na pens (ndani huwa navaa pens badala ya boxa) nikarudi pale karakana kwa machale yan nikiona mtu ananiangalia tu najua anafatilia. Sasa nafika pale nilipoacha gari sijakuta mtu wala gari nikabaki nimezubaa na mipensi yangu kama chizi .

Nikaamua kwenda home chamsingi me mzima vingine ni vyakupatikana ti( ila ilo negotiate rahisi kulitamka kuliishi kazi sana. Nikachukua bajaji hadi home nikafika jirani na napoishi nikamuomba bajaji aninunulie japo lishati lolote nitamlipia pamoja na nauli nikifika home. Nikaingia geto nikachukua pesa nikampa (na hapa ndo niliona umuhimu wa kuishi na cash japo kidogo ndani maana kadi na id zingine niliacha kwenye gari.

Usiku sikulala nilikuwa naweweseka tu. Asubuhi ndio kausingizi kakanipitia kidogo hadi saa1 kasoro ndo nakurupuka sikutana sikuswaki wala kuoga nilichokumbuka ni kunawa uso tu. Nikawahi faster karakana kweli nikakuta Bodaboda kama wa4 ivi ( ila sikuwa namkumbuka yeyote ile jana maana Sikuwa mimi na ilikuwa usiku pia.

Nikafika nakaa pembeni nawaza nianzeje mara na wao wakaanza zile story. Nikamwita mmoja pembeni nikaongea nae naye akawaita wenzeke Alhamdulillah wakakubaLi na kusema vitu vyako vyote vipo salama (nilishangaa sana mana wengeweza kunikana na nisifanye chochote kwakuwa sikuwa na ushahidi, sikuwa na namba zao za simu na hata sikuwa nimewakariri sura) mmoja akatoa funguo akanionyesha then wakawasha pikipiki wakanipeleka stend ya vingunguti tukapanda juu njia ya vumbi walikopaki gari kumbe waliingiza kiwandani kwenye viwanda vya Mo pale Kiwalani.

Nilivyofungua gari nikakuta vitu vyangu vyote vipo sawa kasoro gazeti tu ndo walichukua kubebea miogo eti.

Kiukweli kisa hiki kimenigusa sana nikaona nije share na ndugu zangu wa JF maana nilowaweka kwenye kundi la adui zangu wamekuwa zaidi ya msaada kwangu na mali zangu. Sina cha kusema kwa Bodaboda wa Karakana.
 
Unyenyekevu ni bora kuliko fedha. Tujufunze kuheshimu watu tunaowadhania ni duni kuliko sisi
.... wana dharau sana hawa jamaa. Mfano taa zimeruhusu magari yanaflow yeye anatokea spidi upande tofauti kabisa akilazimisha aingie mbele yako na wanaingia.

Ni rush hours mko barabara ya njia mbili upande mmoja kuna lori na bodaboda yuko upande wa pili mwendo sambamba na lori makusudi mazima ili msipite tena anajifanya kubofya simu! Hiyo ni mifano tu scenario ziko nyingi sana.

Bila hatua madhubuti tatizo la bodaboda sio la kuisha leo wala kesho maana wanaongezeka exponentially. Itafika siku watafunika barabara zote! Ni muda sasa mamlaka zikajifunze nchi nyingine zilizostaarabika wana-handle vipi bodaboda.
 
Jamaa uliwakatia kama ngapi hivi baada ya kujitolea?
 
Wakuu kuna viumbe wanaitwa Bodaboda. Nadhani wengi tunawafaham sana. Kwa watumiaji wa barabara nadhani tunawafahamu zaidi. Namaanisha kwa kero na adha tunazokutana nazo juu yao.

Binafsi nimeathiriwa nao mara kadhaa ikiwemo kunigongea(kuvunja site mirrors zangu kadhaa)? Kugonga ndugu zangu (wapita njia, ) matusi, overtaking za ghafra na kupita mbele yangu kumeko nifanya mara kadhaa kudondoka mtaroni nikikwepa kuwagonga. Hayo kwa u uchache yakiwepo mengine mengi yalonifanya niwe na fikra mbaya juu ya hwa viumbe na mara niwaonapo popote nakuwa makini zaidi nakuchukulia kama nimeona adui.

Juzi kati mida ya sa 12 nikiwa nimetoka job nikiwa mwendo mdogo mdogo kufika mwananchi foreni ikawa kubwa , nikajongea hadi maeneo ya matumbi nikaona si mbaya nichepuke mara moja (kupita service road) angalau nisogeesogee. Nikawa nachepuka narudi road nachepuka narudi road nilipokaribia buguruni nikachepuka kwa speed niwahi kuvuka kabda trafki hawajaruhusu magari yakutoka k/koo, nilipolikaribia daraja la juu la buguruni nikawa naforce kurudi mainroad kumkimbia traffic officer hapo ndo nikajikuta nakutana roli ile kulikwepa kwakuwa nikamgonga bajaji na kwenda nae hadi kwenye zile bomba za barabarani zinazotenganisha barabara moja na nyingne akabamiza nakupinduka huku bajaji ikiwa haitamaniki na wale abiria wakijeruhiwa japo hakuna aliekufa.

Kwakuwa taa zilikuwa zimekwisha ruhusu hivyo gari zilikuwa zikimiminika nami nikaunga kuwahi kuvuka Tazara (Hapo ndo nikakuza tatizo) wananzengwe wakahisi nakimbia si wakaniungia. Nimekimbia nafika mchicha naona bajaji na Bodaboda kibao wameniungia nyuma ikibidi akili initume niache gari nikimbie wasijenidhuru . Nilipo fika Karakana nikaingia njia ya juu nikapaki nikimbie kumbe Bodaboda wa pale wanaona ile movie nilisikia Bodaboda mmoja akisema kwa sauti kubwa brother Acha funguo kwa akili isio kuwa yangu nikarusha funguo bila kujua nampa nani na kwa lengo gani. Nimekimbia kama hatua kumi na tano nikasikia pikipiki zinakuja kwa kasi ila kuna moja iko mbele zaidi ilivyonikaribia akanambia brother panda watakuuwa nikapanda huku msururu wa Bodaboda zikitufukuzia. Akanipitisha njia ya juu kama unaenda Bombom kufika kwenye mskit flan kwambele akaacha road then akaanza kuingia chocho za kiwalani mule hali ya hewa aisee apo roho akili na moyo vishasaliti mwili zimebaki nyama tu.

Yule jamaa akanizungusha vichochoroni huku milio ya pikipiki ikipungua japo kuna wachache bado wanakomaa na sisi tu kafuka kijumba flani akanishusha niingie ye akanyoosha apo ndo nikasevu.

Kwa uwezo wa Mungu kule nilikopaki gari wale Bodaboda wote walipitiliza baada yakuniona nimetoka kwenye gari nakimbia na baada yakunikosa ndo wakawaza kurudi washambulie gari ndipo jamaa alieninyang'anya funguo akawa ashalitoa japo kuna waliomuona (wale wanaobakigi nyuma) ila wakatilia mashaka kuwa si lile gari mana aliomo ndani kuna wanaomjua (Bodaboda mwenzao).

Nilikaa pale nilipofichwa mpaka saa3 usiku najishika mfukoni simu nimeacha kwenye gari, nikavua nguo za juu nikabaki na vest na pens ( ndani huwa navaa pens badala ya boxa) nikarudi pale karakana kwa machale yan nikiona mtu ananiangalia tu najua anafatilia. Sasa nafika pale nilipoacha gari sijakuta mtu wala gari nikabaki nimezubaa na mipensi yangu kama chizi .

Nikaamua kwenda home chamsingi me mzima vingne ni vyakupatikana ti( ila ilo negotiate rahisi kulitamka kuliishi kazi sana. Nikachukua bajaji hadi home nikafika jirani na napoishi nikamuomba bajaji aninunulie japo lishati lolote nitamlipia pamoja na nauli nikifika home. Nikaingia geto nikachukua pesa nikampa ( na hapa ndo niliona umuhim wakuishi na cash japo kidogo ndani mana kadi na id zingine niliacha kwenye gari.

Usiku sikulala nilikuwa naweweseka tu. Asbuhi ndo kausingizi kakanipitia kidogo hadi saa1 kasoro ndo nakurupuka sikutana sikuswaki wala kuoga nilichokumbuka ni kunawa uso tu . Nikawahi faster karakana kweli nikakuta Bodaboda kama wa4 ivi ( ila sikuwa namkumbuka yeyote ile jana mana Sikuwa mimi na ilikuwa usiku pia. ) nikafika nakaa pembeni nawaza nianzeje mara nawao wakaanza zile story . Nikamwita mmoja pembeni nikaongea nae naye akawaita wenzeke Alhamdulillah wakakubari nakusema vitu vyako vyote vipo salama (nilishangaa sana mana wengeweza kunikana na nisifanye chochote kwakuwa sikuwa na ushahidi, sikuwa na namba zaoza simu na hata sikuwanimewakariri sura) mmoja akatoa funguo akanionyesha then wakawasha pikipiki wakanipeleka stend ya vingunguti tukapanda juu njia ya vumbi walikopaki gari kumbe waliingiza kiwandani kwenye viwanda vya Mo pale kiwalani.

Nilivyofungua gari nikakuta vitu vyangu vyote vipo sawa kasoro gazeti tu ndo walichukua kubebea miogo eti.

Kiukweli kisa hichi kimenigusa sana nikaona nije share na ndugu zangu wa Jf mana nilowaweka kwenye kundi la adui zangu wamekuwa zaid ya msaada kwangu na mali zangu.
. Sina cha kusema kwa Bodaboda wa Karakana.

Boda kakuchukua, waliokuwa wanakukimbiza wakamngoja mpaka aje awashe gari, wanamuangalia tu anavyoingia, wakati wanalikimbiza na wanakuona bado wanaliacha na kulisahau! Hii chai Ina kiungo cha Mlonge.

Umegonga watu, bodaboda Kwisha, then Police hawakuvuta gari kwenda kituoni ulipoliacha, wala Ngoja bodaboda aje? Aliwashe alibebe? No trace, no kituoni nothing?
 
Amesema kuna mtu alibaki na funguo, ambacho hajaongelea ni kama alijisalimisha baada ya kukimbia
 
Na wale bodaboda waliokuwa wanakufukuzia tuwaweke kwenye kundi gani? Wasamalia wema au watoa roho?

Una bahati broo! Tungekudaka sahivi wangekuwa wanadiscuss kama wanasafirisha au wazike hapahapa
 
Wakuu kuna viumbe wanaitwa Bodaboda. Nadhani wengi tunawafahamu sana. Kwa watumiaji wa barabara nadhani tunawafahamu zaidi. Namaanisha kwa kero na adha tunazokutana nazo juu yao.

Binafsi nimeathiriwa nao mara kadhaa ikiwemo kunigongea(kuvunja site mirrors zangu kadhaa)? Kugonga ndugu zangu (wapita njia) matusi, overtaking za ghafla na kupita mbele yangu kumeko nifanya mara kadhaa kudondoka mtaroni nikikwepa kuwagonga. Hayo kwa uchache yakiwepo mengine mengi yalonifanya niwe na fikra mbaya juu ya hwa viumbe na mara niwaonapo popote nakuwa makini zaidi nakuchukulia kama nimeona adui.

Juzi kati mida ya sa 12 nikiwa nimetoka job nikiwa mwendo mdogo mdogo kufika mwananchi foleni ikawa kubwa nikajongea hadi maeneo ya Matumbi nikaona si mbaya nichepuke mara moja (kupita service road) angalau nisogeesogee. Nikawa nachepuka narudi road nachepuka narudi road nilipokaribia Buguruni nikachepuka kwa speed niwahi kuvuka kabla trafki hawajaruhusu magari kutoka K/koo, nilipolikaribia daraja la juu la Buguruni nikawa naforce kurudi mainroad kumkimbia traffic officer hapo ndo nikajikuta nakutana roli ile kulikwepa kwakuwa nikamgonga bajaji na kwenda nae hadi kwenye zile bomba za barabarani zinazotenganisha barabara moja na nyingne akabamiza nakupinduka huku bajaji ikiwa haitamaniki na wale abiria wakijeruhiwa japo hakuna aliekufa.

Kwakuwa taa zilikuwa zimekwisha ruhusu hivyo gari zilikuwa zikimiminika nami nikaunga kuwahi kuvuka Tazara (Hapo ndo nikakuza tatizo) wananzengwe wakahisi nakimbia si wakaniungia. Nimekimbia nafika mchicha naona bajaji na Bodaboda kibao wameniungia nyuma ikibidi akili initume niache gari nikimbie wasijenidhuru.

Nilipo fika Karakana nikaingia njia ya juu nikapaki nikimbie kumbe Bodaboda wa pale wanaona ile movie nilisikia Bodaboda mmoja akisema kwa sauti kubwa brother Acha funguo kwa akili isio kuwa yangu nikarusha funguo bila kujua nampa nani na kwa lengo gani. Nimekimbia kama hatua kumi na tano nikasikia pikipiki zinakuja kwa kasi ila kuna moja iko mbele zaidi ilivyonikaribia akanambia brother panda watakuuwa nikapanda huku msururu wa Bodaboda zikitufukuzia. Akanipitisha njia ya juu kama unaenda Bombom kufika kwenye msikiti flan kwambele akaacha road then akaanza kuingia chocho za kiwalani mule hali ya hewa aisee apo roho akili na moyo vishasaliti mwili zimebaki nyama tu.

Yule jamaa akanizungusha vichochoroni huku milio ya pikipiki ikipungua japo kuna wachache bado wanakomaa na sisi tu kavuka kijumba flani akanishusha niingie ye akanyoosha apo ndo nikasevu.

Kwa uwezo wa Mungu kule nilikopaki gari wale Bodaboda wote walipitiliza baada yakuniona nimetoka kwenye gari nakimbia na baada ya kunikosa ndo wakawaza kurudi washambulie gari ndipo jamaa alieninyang'anya funguo akawa ashalitoa japo kuna waliomuona (wale wanaobakigi nyuma) ila wakatilia mashaka kuwa si lile gari maana aliomo ndani kuna wanaomjua (Bodaboda mwenzao).

Nilikaa pale nilipofichwa mpaka saa3 usiku najishika mfukoni simu nimeacha kwenye gari, nikavua nguo za juu nikabaki na vest na pens (ndani huwa navaa pens badala ya boxa) nikarudi pale karakana kwa machale yan nikiona mtu ananiangalia tu najua anafatilia. Sasa nafika pale nilipoacha gari sijakuta mtu wala gari nikabaki nimezubaa na mipensi yangu kama chizi .

Nikaamua kwenda home chamsingi me mzima vingine ni vyakupatikana ti( ila ilo negotiate rahisi kulitamka kuliishi kazi sana. Nikachukua bajaji hadi home nikafika jirani na napoishi nikamuomba bajaji aninunulie japo lishati lolote nitamlipia pamoja na nauli nikifika home. Nikaingia geto nikachukua pesa nikampa (na hapa ndo niliona umuhimu wa kuishi na cash japo kidogo ndani maana kadi na id zingine niliacha kwenye gari.

Usiku sikulala nilikuwa naweweseka tu. Asubuhi ndio kausingizi kakanipitia kidogo hadi saa1 kasoro ndo nakurupuka sikutana sikuswaki wala kuoga nilichokumbuka ni kunawa uso tu. Nikawahi faster karakana kweli nikakuta Bodaboda kama wa4 ivi ( ila sikuwa namkumbuka yeyote ile jana maana Sikuwa mimi na ilikuwa usiku pia.

Nikafika nakaa pembeni nawaza nianzeje mara na wao wakaanza zile story. Nikamwita mmoja pembeni nikaongea nae naye akawaita wenzeke Alhamdulillah wakakubaLi na kusema vitu vyako vyote vipo salama (nilishangaa sana mana wengeweza kunikana na nisifanye chochote kwakuwa sikuwa na ushahidi, sikuwa na namba zao za simu na hata sikuwa nimewakariri sura) mmoja akatoa funguo akanionyesha then wakawasha pikipiki wakanipeleka stend ya vingunguti tukapanda juu njia ya vumbi walikopaki gari kumbe waliingiza kiwandani kwenye viwanda vya Mo pale Kiwalani.

Nilivyofungua gari nikakuta vitu vyangu vyote vipo sawa kasoro gazeti tu ndo walichukua kubebea miogo eti.

Kiukweli kisa hiki kimenigusa sana nikaona nije share na ndugu zangu wa JF maana nilowaweka kwenye kundi la adui zangu wamekuwa zaidi ya msaada kwangu na mali zangu. Sina cha kusema kwa Bodaboda wa Karakana.
Vurugu zote wanazo fanya si kwaakuwa Wana chuki nanyi Bali na wao Wana pambana ili watoto Wale majumbani na wao waishi mjini
 
Jamaa una bahati sana maana kwa ninavyowajua bodaboda hyo gari unaikuta juu ya mawe
 
Boda kakuchukua, waliokuwa wanakukimbiza wakamngoja mpaka aje awashe gari, wanamuangalia tu anavyoingia, wakati wanalikimbiza na wanakuona bado wanaliacha na kulisahau! Hii chai Ina kiungo cha Mlonge.

Umegonga watu, bodaboda Kwisha, then Police hawakuvuta gari kwenda kituoni ulipoliacha, wala Ngoja bodaboda aje? Aliwashe alibebe? No trace, no kituoni nothing?
Mimi mwenyewe nimesoma nimeishia kujiuliza maswali kama yako
 
Hawa jamaa wanna umoja fulani ambao mtu kama hujui watakufanya mboga mboga.
 
Reckless driving imekupelekea shida zote hizo. Kwani ukiendesha gari kwa kufuata sheria za barabarani utapungukiwa nini?

Siungi mkono hayo wanayofanya bodaboda lakini kwa kisa hiki chako wangetakiwa wakukamate wakutie vitasa vyakutosha ili siku nyingine uwe na adabu barabarani.

Anyway, natumaini umepata somo pia kwa tukio hilo. Na ukiendelea na udereva huo wa kiwaki yatakukuta soon.
 
Back
Top Bottom