mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 959
Ingawa yeye na wapambe wake hawajatamka rasmi. Lowassa ameanza kupunguza spidi hata fedha alizokuwa anawagawia maafisa wa Ukawa waliokuwa wanamzingira kwenye kila kampeni zimekatwa.
Watu wameanza kulumbana na hata baadhi ya mikutano imeahirishwa

25.10.2015 mwisho wa CCM na WAMA
Bavichaa mnalo. Hamtaki kukubali lakini ndio ukweli. Jumatatu ijayo mtapata shock. Subirini hapa, hapa,

Watu wameanza kulumbana na hata baadhi ya
,viva UKAWA,UKAWA FOR LIFE ,CHAGUA LOWASSA ,CHAGUA WABUNGE NA MADIWANI WANAOTOKANA NA USHIRIKA WA UKAWA ,peeeeepoz ..........power big up CDM,NLD,CUF NA NCCR haturudi nyuma kamwe
hahahahahahha akifanya kampeni nongwa, akitulia napo nongwa, nyie watu unataka nini haswaaa. Si mlikuwa mnasema ni tajiri sasa kaishiwa vipi? Fanyeni yenu atiii
Bahati yako sheria ya mtandao. Ukiona msanii anashangiliwa kuliko mgombea..ujue kuna walakini