Hatimaye Lowassa abomoa hadhi ya CHADEMA

Lowasa aliiba sana akiwa kwenye serikali kwahiyo anapambana ili akalinde maslahi yake na mafisadi wenzake.

Hiki ndo kikubwa anachokitafuta huyu mtu. Anajiona kabisa kuwa hawezi lakini yumo tu, kwanini? Kuna siri nzito imejificha hapo.
 
unataka fisadi aingie ikulu ili iweje hatutaki huo ufisadi kafanyeni na mafisadi wenzenu.
Nakiufupi haupati urais hata kwa dawa juha yule, kawanunua majuha wenzie si wote
 
Hawa UKAWA sidhani kama wanatumia akili zao kufikiri. Nadhani wanatumia masaburi.... wao hata jiwe mwaka huu ni halali yao..
 
IT Team njaa hapo mlipowekwa kuandika porojo dhidi ya Lowasa na UKAWA hamtafanikiwa hata kidogo nyie team njaa mnalala kwa shangazi viroba mnagongea jioni halafu mnamtukana lowasa mtakuwa mashoga labda
 
Mkuu mtoa mada me nmeama CHADEMA kwa ajili ya lowassa hvyo nakuunga mkono asilimia mia
 
Lowasa mwenyewe katika nyakati tofauti kwenye mikutano yake kaonekana kachoka sana kufikia hatua ya kusinzia, hawezi kubeba jukumu zito kama hilo, isitoshe hana agenda mahususi za kulikomboa taifa hili.

Mbona unalalamika kama vile huko Sisiem alikua anakupakata na sasa umeachika?
 

Mkuu sisi tunataka sera sio tuhuma kama tuhuma kwasasa angekua kashitakiwa. Duuuuu!!!!! Kweli kazi ipo wabongo sera zavyama amuandi mnaandika tu mtu. Ss tupeni sera sio mtu. Chama nitahasisi sio mtu mumoja.
 
jiandaeni kukabidhi nchi kwa amani na utulivu hapa ni mabadiliko tu akuna namna
 
Mkuu sisi tunataka sera sio tuhuma kama tuhuma kwasasa angekua kashitakiwa. Duuuuu!!!!! Kweli kazi ipo wabongo sera zavyama amuandi mnaandika tu mtu. Ss tupeni sera sio mtu. Chama nitahasisi sio mtu mumoja.

Huyo wa kwao anajiuza peke yake...hao waliosema hawatarusu upinzani uende ikulu ni kina nani?au wao hesabu za asilimia zinawakataa!
 
Makolokolo!! Na siye tumehamia cdm KWA ajili ya lowasa! Kwakuwa lowasa ana kipaumbele cha elimu basi mkipata elimu mtajijua na mtaelewa kwanini tunadai mabadiliko!
 
Umeandika upuuzi mtupu. Ukiwa vitani unatumia silaha yotote inayokufaa kwa wakati huo
Kama kaandika upuuzi, ungetakiwa umjibu kwa hoja. Lowassa si fisadi na haumwi hata kidogo anasingiziwa. Na amekimbia ufisadi ccm. Ni mfano ungemwambia na sifa kemkem ili uonyeshe kweli lowasa anafaa bila kukimbilia eti upuuzi mtupu.
Wengi wetu tunajulia humuhumu.
 
Kama taifa kwa sasa anahitajika kiongozi imara mwenye uwezo, uongozi uliotukuka na mwenye mitazamo chanya.
 
BADO.
Ninaiiimaniii na lowaassa....
hoyaaaa... hoyaa.....
ninaaimanii na lowassaa....
hoyaa.. hoyaa....

lowassa kweliii.... kweliiii......

kuanzia DODOMA mpaka ikulu ni must waseme ili. lile IKULU NI MUST. CCM lazima itoke japo sie tulikuwa makada kule Dodoma na wengine bado wapo ccm lakini M4C kura kwa lowassa. ZARAU ATUZITAKI
 
unataka fisadi aingie ikulu ili iweje hatutaki huo ufisadi kafanyeni na mafisadi wenzenu.
achakukalilishwa kama kasuku wewe uffisadi kaiba wapi na shilingi ngapi?ukisikia watu wanaimba na wewe una anzakuimba kama kasuku.
 
wewe inaonekana umetumwa na ccm lakn mm nasema hvi hauta weza hats kidogo wananchi wakitaka mabadiliko kamwe huwezi kuzuia hata kidogo mm nakushauri uachane na hayo masuala
 

....Tuna maisha hata baada ya uchaguzi hata baada ya EK kuwa Raisi au Padlok kuapishwa, mbona hiyo thread ya jamaa haikuwa na matusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…