gadafi alivamiwa kwa kivuli cha demokrasia ila uhalisia ni mafuta. Maduro anang'ang'aniwa kule kwa kivuli cha demokrasia ila uhalisia ni mafuta tuNasisitiza kuwa lengo la Ghadafi kuvamiwa sio hoja ya demokrasia, wakubwa hawakunyonya mafuta bure. Mbona Saud Arabia hakuna hiyo demokrasia? Kwa nini wasiwavamie sasa wapeleke hiyo demokrasia?
Mbona Venezuela Wana demokrasia nzuri tu, kwa nn wanamsumbua Madulo?
Mbona hawamvamii M7?
Kama wanakupa kwako wanapiga kimya tu.
Africa tuamke
Hapa kwetu Tanzania tangu 95 Multipartism imefeli vibaya. Vyama kibao vya kijinga tupu. Kwa nini tusiamue sisi wenyewe kuwa na vyama viwili tu Tena kikatiba halafu tukapambana kwa hoja na kukubali kubadilisha madaraka kwa amani?
Waarabu waliungana na Uturuki kumhujumu mwarabu mwenzao Syria (Assad).Tunapoelekea libya itakuwa zaidi ya syria,,sababu uturuki wamekita mizizi,,waarabu wamepagawa sana,,kama ujuavyo nchi nyingi za kiarabu zilipigana na uturuki ndo zikapata uhuru,
Sasa wanaona uturuki anazidi kujitanua,mturuki kakamata ardhi syria,anajongea iraq,,ana kambi za jeshi Qatar,somalia na sasa libya,,
Halmark zote za uturuki kutaka kujitanua na kurudisha himaya ya ottoman,ziko wazi,
So waarabu sasa wanaungana wakuongozwa na Egypt dhidi ya uturuki nchini libya,
Kama vita itazuka hii itakuwa kiboko,
Uturuki yuko na Qatar, italy,na US kwa mbali,dhidi ya Egypt,Uae, Russia,france,saud na wapambe wao,mambo ni fire,,inaonekana mturuki yuko mafuta vibaya,,nani atamfunga breki ndo suala wanajiuliza,
Marekani anamgwaya,Russia hawajui la kufanya,,ulaya wamepaniki
Siyo lazima kila mtu awe kiongozi au mtawala, kuna wengine lazima waongozwe.Inauma lakini tatizo kubwa la viongozi wa ki Africa na hata za ki Arab ni kung'ang'ania madarakani kwa njia moja ama nyingine.
Huwezi kuwatawala watu wenye akili na ufahamu kwa zaidi ya miaka 42 na bado ukataka mwanao akurithi !!. Watakufanyia fitna tu.
Hapo ndipo ukweli huwa hausemwi, ukiwa km kiongozi lazima usome nyakati na unachokijenga ili kiwe faida kwa wengine lazma kuwe na kiasi. Binadamu ni mtu asiyerizika kwa hiyo watu walibya waliamini wangepata zaidi na haiwezekani mtu mmoja aongoze nchi kwa zaidi ya miaka arobaini na bado anataka kurithisha mtoto. Gadafi ilibidi aachie madaraka pale alipoanza kuona upingamizi juu yake ampe madaraka kwa mtu mwingine aliyemuamini hata km ingekuwa kwa sanduku la kura then baadae uwezekano wa mwanae kupata uraisi ungeweza kuja na heshima yake ingebaki na nchi ingekuwa salama. Lakini kushupaza shingo akakosa vyote uhai na utajiri wa nchi.
Tukubali tu kuwa watu wenye asili ya kiarabu uongozi wa kifalme ndo njia sahihi, wangeuboresha tu Basi,mfano angalia Iraq demokrasia wapi na wapi?
Ni kweli Ghadafi alikaa sana madarakani, na Hawa wazungu hawajamtoa kisa demokrsia, sio, he was a big threat to their economic interests.
Huoni walivyo muua demokrasia iko wapi?
Wenye maono ya kitaifa wanataka kiongozi bora na sio uchaguzi wa Kila Mara. China wamepata mwamba Xi na Ususi wamepamata mtaalamu Vladimir Putin
Linganisha hao na sisi ambao Kila Mara tunawaza uchaguzi hamna kitu
Ila duniani kuna vitu vya ajabu sana,yani kwamba wananchi Libya wameona bora waingize nchi vitani kwa sababu ya Gadaffi hataki kuwaachi nafasi na wenzake nao watawale walibya.
Yani kama Tz wananchi tuingize nchi vitani kwa sababu tunataka ccm itoke madarakani imekaa sana hivyo ni zamu ya Chadema au Act nao watutawale.
Kwanini useme si kila mtu lazima awe kiongozi !!.: Umempima kwa uzani gani ?! Wenye nchi ni wananchi . Wakiamua utoke unatoka Tu usimdharau yeyote.Siyo lazima kila mtu awe kiongozi au mtawala, kuna wengine lazima waongozwe.
Kuna faida na hasara gani hapo wamepata baada ya kumtoa Ghadaf?
Na hapa Tanzania wapinzani wenye tamaa mbaya ya madara wanaelekea kutuingiza nchi yetu kwenye janga kama hili.
Tujifunze kwa walibya sasa wanajuta hata robo ya kile walichokuwa wanapewa na serikali ya Ghadaf hawakipati sasa.
Tukasome nini malkia anachaguliwa nanani ?!Mnaosema kuwa Malkia wa Uingereza ni dikteta, rudini mkasome vizuri kuhusiana na udikteta na zaidi pateni kuufahamu vizuri mfumo wa kiutawala uliopo Uingereza.
Ni dhahiri kuwa wengi wenu hamfahamu vyema nini maana ya udikteta. Hamuufahamu 'Udikteta'.
Acheni uvivu, someni, rudini katika historia, fanyeni tafiti.
Ndiyo ni wa kwanza. Kabla yake alikuwapo mfalme. Mwenye uchu ni huyu anayengangania madaraka.Wewe unaona Hilo pekee, je hao wenye uchu na madaraka Wao sio sababu?
Kwani Gadafi ndio Raisi wa Kwanza huko Libya
Mtu unajiita "mjingamimi" !! Unajua mifumo ya tawala ulimwenguni ?! Ukielezwa uielezee utaitoa kasoro ipi kwa mfumo huo wa UK ?! Kumbuka malkia ni ceremonial. Na si kiongozi wa serikali inayohusika na maisha ya wananchi.Shida sio KUNG'ANG'ANIA MADARAKA.
mbona uingereza hyo demokrasia hamna?.
Uingereza wanaongozwa na malikia.
Kwanini wamarekani na wazungu waone kuwa gaddafi hafai?
Anachaguliwa nanani ?!Mtu unajiita "mjingamimi" !! Unajua mifumo ya tawala ulimwenguni ?! Ukielezwa uielezee utaitoa kasoro ipi kwa mfumo huo wa UK ?! Kumbuka malkia ni ceremonial. Na si kiongozi wa serikali inayohusika na maisha ya wananchi.
Tatizo suala la Gadafi kila mtu anaongea lake ila cha muhimu ni kwamba wakubwa wa dunia hawakumtaka tu hakuwa akienda nao sawa na wao ndio waliyofanikisha hilo zoezi,na mwenyewe Gadafi alipata kueleza hili mwishoni mwishoni.wote hawakusoma alama za nyakati na kutokufikirisha bongo zao juu ya madhara wanachokifanya.
1;GADAF alipaswa angejitoa mapema kabisa baada ya kuona kelele zinaanza kuliko kuanza kushindana na kelele
2:Raia nao hawakufikiria kwa kina kwa hiki tunachoenda kukifanya na kutambua madhara yake hapo abadae
Ila wanakula mema ya nchi peke yao.Mtu unajiita "mjingamimi" !! Unajua mifumo ya tawala ulimwenguni ?! Ukielezwa uielezee utaitoa kasoro ipi kwa mfumo huo wa UK ?! Kumbuka malkia ni ceremonial. Na si kiongozi wa serikali inayohusika na maisha ya wananchi.
Unauliza ukasome nini? Nimesha kuambia nini cha kusoma.Tukasome nini malkia anachaguliwa nanani ?!
Argument zako tangu asubuhi sijui unalenga nini ?!. - Je wa UK wamelalanikia mfumo wao ?!Anachaguliwa nanani ?!
Ama hakuna mwengine anaetamani kua ceremonial leader kama yeye ?!
Nakama hana mamlaka yeyote anakaa pale alipo kufanya nini wakati hana mamlaka yeyote ?!.
Ila ishu kubwa hapa anachaguliwa nanani ?!.
Ila wanakula mema ya nchi peke yao ni sawa na Gadafi alivyokuwa anakula mema ya nchi peke yake.Mnaosema kuwa Malkia wa Uingereza ni dikteta, rudini mkasome vizuri kuhusiana na udikteta na zaidi pateni kuufahamu vizuri mfumo wa kiutawala uliopo Uingereza.
Ni dhahiri kuwa wengi wenu hamfahamu vyema nini maana ya udikteta. Hamuufahamu 'Udikteta'.
Acheni uvivu, someni, rudini katika historia, fanyeni tafiti.
Kula mema ya nchi kwa kufuata katiba mliyokubaliana. Siyo ukawa kila kitu ni weweIla wanakula mema ya nchi peke yao.