Hatimaye kampuni ya Bombardier yafilisika rasmi, sijui spea tutapata wapi?!

Hatimaye kampuni ya Bombardier yafilisika rasmi, sijui spea tutapata wapi?!

Kampuni ya Bomnardier ya nchini Canada imefirisika rasmi baada ya kunyanyapaiwa kibiashara na kampuni ya Boeing ya huko Marekani.

Habari za hivi punde zinasema kampuni hiyo imeamua kuuzwa kwa kampuni ya Airbus kwa kiasi cha dola za kimarekani million 500.

Kwanini sisi haswa awamu hii kila tugusapo panageuka shubiri.

Ona Misri.
Wewe Mkuu haya matango pori umeyapata wapi? Ukweli ni kwamba Bombardier ilinunuliwa na Airbus, na ndio maana hizi ndege za ATC ambazo mojawapo inaenda South tuliziagiza kama Bombardier lakini zikaletwa kama Airbus. Sasa kampuni kununuliwa na kampuni nyingine na kampuni kubadilisha jina la ndege sio kufilisika.

Labda unaongelea Bombardier za propeller maana Airbus walitaka kuendelea kutengeneza za Jet engines

Airbus takes control of Bombardier jet Boeing tried to kill


by Jon Ostrower @jonostrower October 17, 2017: 8:06 AM ET
Airbus on Monday announced it was taking control of rival Bombardier's embattled C Series airliner program, building a powerful transatlantic alliance in a bitter fight with Boeing.

The C Series has come under attack from Boeing, (BA) which alleged that Bombardier (BDRAF) had sold the 100 to 150-seat jet to Delta Air Lines at "absurdly low prices." The U.S. Department of Commerce has levied a preliminary 300% import tariff on the plane, setting up a diplomatic row that has drawn in the Canadian and U.K. governments.

The Airbus deal could enable the C Series to dodge the huge tariff by assembling the planes in the U.S.
Under the agreement, Airbus (EADSF) will acquire 50.01% of the program. Crucially, the European plane maker will establish a second final assembly line for the jetliner in Alabama, where it currently builds larger single-aisle jets for U.S. airlines. The facility will be expanded to make room for manufacturing the C Series.

The arrangement potentially opens the door for more U.S. carriers to sign up for the jet. JetBlue Airways (JBLU) and Spirit Airlines (SAVE), both large Airbus customers, have previously voiced support for Bombardier's position against the Department of Commerce. And it could salvage business with Delta (DAL), which has said it won't pay the tariff.

Airbus denied that its goal was to avoid U.S. tariffs on the new jet. But the assembly line plans it unveiled mean the C Series will now be "made in the U.S.A."

"This looks like a questionable deal between two heavily state-subsidized competitors to skirt the recent findings of the U.S. government. Our position remains that everyone should play by the same rules for free and fair trade to work," a Boeing spokesman said in a statement.
 
Kwahiyo spea za ndege au magari kwa akili yako zinatengenezwa baada ya chombo husika kuanza kuharibika au kikishatengenezwa na spea zinatengenezwa hapo hapo!na pia umeshasema imeuzwa kwa airbus,kwahiyo kuuzwa sio kubadili biashara bali ni muendelezo tu wa biashara ile ile......

Mpaka wame nunua wanayo Sababu ya kufanya hivyo ,mimi na wewe hatufahamu so hatufahamu kama wataamua kuachana na Matoleo haya ya sasa na kuleta mengine sote hatufahamu.Hata ubinafsishwaji wa Viwanda vyetu ulikuwa ni Mpango Maalumu wa Nchi Tajiri..
 
Mleta mada ni muwakilishi wa wapiga ramli za chama flani lazima kitoweke 2020, ikifika 2020 utawasikia 2040....
Hivi hadi kuleta uzi hapa hujui makampuni yanayounda ndege huwa wananunua vipuli kutoka kwa makampuni mengine? mfano Boeing unajua injini zao huwa wananunu wapi?...
 
Nilifikiri kwenye bandiko lako ningekuta mahali kuna tangazo la kusitisha kwa uzalishwaji wa hiyo Brand.
 
Kwa vile kampuni itakuwa haijafungwa bali imeuzwa kwa Airbus, basi spea za bombardier zitauzwa na Airbus.

Mnakesha kuiombea mabaya ATCL.
 
nn
Kwahiyo spea za ndege au magari kwa akili yako zinatengenezwa baada ya chombo husika kuanza kuharibika au kikishatengenezwa na spea zinatengenezwa hapo hapo!na pia umeshasema imeuzwa kwa airbus,kwahiyo kuuzwa sio kubadili biashara bali ni muendelezo tu wa biashara ile ile......
Mnunuzi ana hiari ya kuendeleza products au kubadiri. Spare kwa product iliosimamishwa muda ukipita sana huwa tatizo, since that product becomes obsolete.
 
Eti alishauriwa na mshauri wake nduli na dikteta mwenzie Kagame!!!! 😳😳😳😳 Tangu lini huyo dikteta amekuwa anavijua vipaumbele vya Watanzania!? Mwendawazimu ndivyo alivyoooooooo!

Kampuni ya Bomnardier ya nchini Canada imefirisika rasmi baada ya kunyanyapaiwa kibiashara na kampuni ya Boeing ya huko Marekani.

Habari za hivi punde zinasema kampuni hiyo imeamua kuuzwa kwa kampuni ya Airbus kwa kiasi cha dola za kimarekani million 500.

Kwanini sisi haswa awamu hii kila tugusapo panageuka shubiri.

Ona Misri.
 
Kampuni ya Bomnardier ya nchini Canada imefirisika rasmi baada ya kunyanyapaiwa kibiashara na kampuni ya Boeing ya huko Marekani.

Habari za hivi punde zinasema kampuni hiyo imeamua kuuzwa kwa kampuni ya Airbus kwa kiasi cha dola za kimarekani million 500.

Kwanini sisi haswa awamu hii kila tugusapo panageuka shubiri.

Ona Misri.
Kwa taarifa yako... ni siku nyingi wamerasimisha kazi zao kwa Airbus. Hata hizo ndege zilizonunuliwa mbili (Airbus) oda iliyotolewa ni ya Bombardier lakini wakati zikitengenezwa zikabadilishwa na kuitwa Airbus. Mwisho jaribu kuandika vizuri maneno. Siyo Bomnardier na siyo imefisirika!
 
Wasingeweza competition
Wamemuacha Airbus na Boeing
Mbona Embrarer bado zinadunda tu.Hao kina Boeing na Airbus wala hawakuwa wapinzani wake wakubwa mpinzani alikuwa embrarer kutokana na size ya ndege wanazotengeneza.
 
Mkuu inamaana bombadia zote zitakuwa grounded duniani kote once zitakapofika muda ya services na spear parts? Pia unadhani thamani ya kununua bombadia kama kampuni haiusishi matengenezo na ununuzi wa spear parts ya ndege zao zinazoruka duniani kote?

Mkuu kumbuka kuwa Air bus walisha takeover kampuni ya bombadia kitambo na ndiyo maana zile ndege zetu mbili zilikuwa kama air bus badala ya C-series kama ilivyokuwa hawali
 
Mnunuzi ana hiari ya kuendeleza products au kubadiri. Spare kwa product iliosimamishwa muda ukipita sana huwa tatizo, since that product becomes obsolete.
Hivi mnafikiri biashara ya kutengeneza ndege ni sawa na hayo matikiti-maji mnayolima? Au chips mnazouza? Haya mambo yanawazidi uwezo waachieni wenye upeo na ujuzi nayo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu inamaana bombadia zote zitakuwa grounded
Read between the lines please! Kusimamisha utengenezaji wa product si grounding of operations ya products za zamani. Hizo zinazo operate ndizo uhitaji wa spare huleta shida kwani mahitaji hupungua mpaka kuanza kutengenezwa kwa order, kwa mhitaji ni gharama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom