Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,866
Dah.........
Unataka ushahidi gani? Si nenda Yono Auction Mart ukachunguze? Umekuwa toto jinga utafuniwe kila kitu?
Ukitaka taarifa zaidi kiwanja chenyewe ni plot numbers 160&161 kinatazamana na hoteli ya Bahari beach. Ikulu wanajua na ndio maana walimtoa hiyo wizara. Angelikuwa mtu mwingine angefukuzwa kabisa. Ila walijua Mwakiembe angeanza propaganda zake kwamba kaonewa. Wakamtuma rafiki yake Sitta ashuhudie ufisadi wake.
Kiwanja hicho alitaka kukifanya eneo la ku park magari kwa abiria watakaokuwa wanatumia hiyo meli kutoka Bagamoyo kwenda kule mjini. Ila wamemtoa kabla na dili imelala.
Tunajua mengi sana ya Mwakiembe. Karma ya Pasco imeanza kumrudia baada ya kumwonea Lowassa.
Umepata hizo taarifa za ufisadi kwa sababu kahamishwa. Angekuwepo usingezipata.Au ndio maana kahamishwa?!
Taarifa za uwakika pasipo shaka yoyote kutoka kwa mmoja wa wajumbe wa tume ya uchunguzi wa ununuzi wa mabehewa ya TRL iliyoundwa na aliyekuwa Waziri wa uchukuzi ambao wamekabidhi ripoti yake kwa Mhe. Sita Waziri wa sasa wa uchukuzi imeweka wazi jinsi wataalam wa TRL walivyofisadi
Nchi kwenye ununuzi wa haya mabehewa.
Mojawapo ya maajabu ya Musa kama siyo ya firahuni ni pale hawa wataalam walipobadilisha specification s na baadhi ya vipengele vya mkataba baada ya ukaguzi nchini India ili mkataba ukidhi walichokuta huko na siyo mtengenezaji atengeneze kwa mahitaji
yetu... Bila huruma wala weledi wakaweka matumbo yao Mbeleeee.
Tumwombe Mhe. Waziri awachukulie hatua stahili na wapelekwe Kmahakamani kwa kuhujumu uchumi na siyo kuwahamishaa.
Tegemea report kamili hapa.
Sikuwahi kumwamini Mwakyembe,ni fisadi mkubwa
Tuambie huo ufisadi wa Mwakyembe ni upi?au ndio majungu