Nadhani ni muda muafaka wa kufaidi ya matrioni ya ufisadi, kwa kuanzisha makampuni makubwamakubwa.
Trillion tatu zetu zipo wapi??
Hawa ndio moja ya mafisadi ambao wanafurahia sera za CCM za Chukua Chako MapemaJamaa atakua na hela nyingi sana kiinua mgongo +TZS: 3,000,000,000,000/=
Aende....ya trillion 3 siyajui ila nikikumbuka kauli alizotoa kutisha vyama vya upinzani wakati wa uchaguzi mkuu ulipoita nacikia kutapika.
Kwa dhaifu kila jambo linawezekana....Mungu atamhukumu, CCm itamlinda-Mkuu wa mkoa. JK ataanzisha mkoa mpya wa kumpa