Hatimaye Kabila Kuachia Ngazi kabla ya Mwisho wa Mwaka huu (2017)

Dan Zwangendaba

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
5,730
7,979
Waasi pamoja Rais Kabila wamefikia muafaka ambapo Rais wa sasa Joseph Kabila amekubali kuachia ngazi kabla ya mwisho wa mwaka huu (2017).

Source: Aljazeera
 
Hope mojawapo ya kipengele muhimu kwenye huo muafaka ni kutoshtakiwa yeye pamoja na familia yake. Vingenevyo sioni ni kwa namna gani madikteta wa Afrika wanaweza kukubali kuachia madara - Ref. Jammeh case.
 
Naona kanisa Katoliki limeanza kufungua makucha yake kwenye kusuluhisha migogoro ya kisiasa,sijui pengine wanaogopa nini kukitokea migogoro.
 
swami LA kitoto kwahiyo wewe unapenda migogoro na mifarakano?
 
Bila migogoro duniani basi hakutakuwa na maana ya maisha,zaidi mambo hayo yapo peponi pekee ambako wanaishi watakatifu ila huku tulipo mambo haya ni lazima,nilisema sehemu nyingine kanisa halifanyi kama ilivyo Congo
 
Una akili ya kitoto bado

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom