Hatimaye kaanza kazi rasmi?

Mtaandika na kuongea yote ila msije kuthubutu kuleta uhaini ,mtapoteana

Si mlikuwa mnasema remote Iko msoga vipi tena?
 
Tanzania serekali ndio inayosimamia bunge na mihimili yote,ndio maana waarabu wa bandari za Tanganyika hawawezi kushitakiwa kwenye mahakama zetu,kwa kuwa watatiwa hatiani na serekali badala ya mahakama,tena kwa njia ya simu tu.
 
Kwamba wewe ni msomi nguli!?.. msomi nguli huwaje!?
 
Inasimamiwa na Yale mavi ya dodoma
 
Sasa hana masihara katikati kuiba mali za nchi na rushwa au kwaajili ya nini. Narudia Tanzania hamna kiongozi serious zaidi ya kuwa serious kuiba mali za uma
 
Bandari inauzwa halafu wewe mamayo unakalia ujinga wa uchawa CCM....
Mtakuja kuwa mkifuatwa mmoja mmoja majumbani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…