Unaweza kuendelea kuangalia zipo episodes zote toka enzi hizo kwenye you tube!Niliacha kuangalia toka enzi za kina nyati
Huo mda sasa! Na mimi nipo nyuma kidogo sio mpenzi wa kupakua movie/series youtubeUnaweza kuendelea kuangalia zipo episodes zote toka enzi hizo kwenye you tube!
Derick nyati..na yule mwanamke wake mzungu..baba wa yule dada mzungu na mama wa kambo cherryKina Zebedee, Nandipha, enzi hizooooo
Kwanini uliacha?
Walivyoanza kuingia mashoga..nikaona wanazingua alafu pia watu wapya nikawa siwaelewiKwanini uliacha?
Aisee! Pole nimejaribu kuangalia tamthilia, moja ipo swahili tv inaitwa (a love to last) nzuri ila ishu ya mashoga naona ndio inanikata stimuWalivyoanza kuingia mashoga..nikaona wanazingua alafu pia watu wapya nikawa siwaelewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafilipino hao..[emoji3][emoji3] wanazingu ila ndiyo ivyo binafsi tamthilia zao nishazoea kuona vioja vya namna hiyo..Cha muhimu hawakiss tu na ku-do Kama wafanyavyo wazunguAisee! Pole nimejaribu kuangalia tamthilia, moja ipo swahili tv inaitwa (a love to last) nzuri ila ishu ya mashoga naona ndio inanikata stimu