Duuh imeisha, kama wewe ulikuwa mdogo na umeanza 2013 wengine tumeanza nayo hiyo miaka mpaka tukaisahau aisee, characters wote wa mwanzo nadhani ni wababa watu wazima na wote story zikaisha wakamalizia wengine, yaani huo ndio utunzi na watu wamefanya investment hasaLeo kwa Mara ya mwisho nimeangalia last episode ya tamthilia hii kongwe zaidi barani Afrika. Nimeanza kuifuatilia toka nikiwa sina ufahamu wa vitu. Kongole kwa watunzi na timu nzima ya Isidingo ni tamthilia ambayo hata kama hujui ilikuaje nyuma lakini unaelewa sababu kila baada ya episodes kadhaa inakisa kipya chenye kusisimua.
Nimekua nikiangalia kwa kuingia na kutoka ila toka mwaka 2013 mpaka leo inafikia tamati sijawahi kukosa hata episode moja. Kwa waliofuatilia wanaelewa nini namaanisha ilikua ni dk 20 ambazo zenye kusisimua. Timu ya Isidingo walikua updated kila tukio kubwa linalotokea duniani, Africa, au Afrika ya Kusini utakuta walishalitengezea script na kurushwa siku hiyo hiyo.
Goodbye Isidingo
Kina Zebedee, Nandipha, enzi hizoooooNiliacha kuangalia toka enzi za kina nyati
Nyati mtu au? 😂😂😂😂Niliacha kuangalia toka enzi za kina nyati
dah mbali sana derek nyati na yule mke wake mzungu walikua wanaigiza wote alafu baadaye sijui wakapotelea wapiNiliacha kuangalia toka enzi za kina nyati
Kwahiyo tangu mwa 2013 ulipo anza kuangali jee umeme haujawahipo kuzimwa au ikatokea siku ukaambiwa Leo hatuwezi kuonyesha ta mthilia kwasababu matatizo ya kiufundi yapo njee ya uwezo wetuLeo kwa Mara ya mwisho nimeangalia last episode ya tamthilia hii kongwe zaidi barani Afrika. Nimeanza kuifuatilia toka nikiwa sina ufahamu wa vitu. Kongole kwa watunzi na timu nzima ya Isidingo ni tamthilia ambayo hata kama hujui ilikuaje nyuma lakini unaelewa sababu kila baada ya episodes kadhaa inakisa kipya chenye kusisimua.
Nimekua nikiangalia kwa kuingia na kutoka ila toka mwaka 2013 mpaka leo inafikia tamati sijawahi kukosa hata episode moja. Kwa waliofuatilia wanaelewa nini namaanisha ilikua ni dk 20 ambazo zenye kusisimua. Timu ya Isidingo walikua updated kila tukio kubwa linalotokea duniani, Africa, au Afrika ya Kusini utakuta walishalitengezea script na kurushwa siku hiyo hiyo.
Goodbye Isidingo
Kwani Hakuna marudio ,Kwahiyo tangu mwa 2013 ulipo anza kuangali jee umeme haujawahipo kuzimwa au ikatokea siku ukaambiwa Leo hatuwezi kuonyesha ta mthilia kwasababu matatizo ya kiufundi yapo njee ya uwezo wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kuielewa nashangaa unavyosema ilikuwa bora na imeisha nabaki kusema hiiiiiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app