Hatimaye huyu mrembo apata mwenza

Haya ni matokeo ya mabadiliko ya tabia nchi....!!!
 
Ha ha ha ha Mkuu Mtambuzi.. Uzuri wa mapenzi hayachagui..
 
Last edited by a moderator:
Kazi ipo lakini atafurahia maisha polepole
 
Hata ukinipa na kituo cha mafuta kama dau la kuoa huyo mtu sikubali
 
Hata ukinipa na kituo cha mafuta kama dau la kuoa huyo mtu sikubali

Hhaahahaaaa

Ila ni mind set tuu, ukiiambia akili yako na kuamini 1,000% kuwa huyu mwanamke mwenye ndevu ni queen kuliko hata queen of sheba na hujali embarass za jamii kuhusu muonekano wake, yaahi hata jamii itabadilika kuhusu kumuona wa ajabu.

Its a matter of kujiamini na kuikubali
 
Duh! Ila anaonekana kwa kutenya analipa!
 
Ha ha ha! Myoyambendi umenifurahisha sana. Anyways, hiyo hali ipo inasababishwa na "Hormonal imbalance" ...Kwa wale waliosoma medical school watakuwa wanaelewa jinsi hizo physiological & biochemical mechanisms/pathways zinavyosababisha matatizo haya si kwa wanawake tu, hata upande wa wanaume pia...!
 
[h=2]Good Looking Sugar Mummy's And Daddy's Connection is on.Our major objective is to hook you up with a sexy and wealthy lady/man in your location. Those who are looking for hook-up with either a working class lady, a rich and caring sugar-mummy, sugar-daddy, toy-boy, or sugar-babe should contact our Admin office MADAM JOY MORGAN on the following lines: +2348138922852. We have rich and sexy sugar-mummies and sugar-daddies from various parts of the country. These are men and women who have the influence to get you fixed up with a white collar job and at the same time assist you boost your business and make you financially buoyant, but you must be good in bed and ready to satisfy her/him sexually.BEFORE CALLING US MAKE SURE YOU LIKE THE LINK AND NOTE THIS HOOKUP IS NOT MET FOR UNDER 18. REGISTERATION IS 3000 ONLY[/h]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…