Hatimaye Hamas watangaza kifo cha Mohamed Sinwar!!!

Hatimaye Hamas watangaza kifo cha Mohamed Sinwar!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,930
Reaction score
6,030
Baada kuficha kifo cha Gaidi Mohamed Sinwar kwa muda mrefu leo hii Hamas wameamua kusema wazi kuwa Gaidi Mohamed Sinwar ndugu yake na Yahya Sinwar alikufa huko Gaza!!!

Hii inadhibitisha wazi kuwa Wafuga Midevu na Majini wanaficha sana vifo vya magaidi wenzao hasa wanapouwawa na Majeshi shupavu ya Israel!!!!

Wamejitahidi sana kuficha lakini imetimia tu wasema baada ya Abu Obaida kuuwawa kinyama

--------------------------
The Palestinian militant group Hamas confirmed on Saturday the death of its Gaza military chief Mohammad Sinwar, a few months after Israel said it killed him in a strike in May

Hamas did not provide details on Sinwar's death but published pictures of him along with other group leaders, describing them as "martyrs"

Mohammad Sinwar was the younger brother of Yahya Sinwar, the Islamist faction’s chief, who co-masterminded the October 7, 2023 attack on Israel, and whom Israel had killed in combat a year later.
He was elevated to the top ranks of the group after the death of the brother

His confirmed death would leave his close associate Izz al-Din Haddad, who currently oversees operations in northern Gaza, in charge of Hamas' armed wing across the whole of the enclave.

Source: Reuters
 
WEWE KAMA NGOZI YA TAA CALL UNAFAIDIKA NA NINI KUFA KWA HUYO SINUWARI?
Mabikira 72 wanabakwa mwakahuu sio kwa vifohivi

Kule pm wa Houthi yemen
Huku semaji
Mule bosi la military

Mtashaa mabikira
 
Yaliyomkuya Baraka pia yanaweza kumkuta Mussa. Ingewezekana kabisa wewe ukaumbwa mti, nyoka au samaki au hata Gaidi. Golago au jitu lenye roho mbaya, Tujitahidi sana kuleta akili zetu katika tafsili za uhalisia wa utu.

Naweka wasilisho langu mezani
 
Imani za kijinga na kipumbavu kama hizo mimi sina!!,
 
Mwaka huu itabidi wapunguze idadi ya mabikira badala ya 72 wawe 50 maana hawatatosha
 
Inaonekana umeumia sana!!! Hebu sema umeumia zaidi sehemu gani ya mwili wako wewe Mwarabu-koko?
Angeuawa muisraeli usingeongea hivyo ila ungeshangilia vibaya mno hivyo kubaliana na hali tu shehe.
 
Hamas walisha weka badala ya Mohamed Sinwar kitambo we uko dunia ipi. Ulivyo kuwa kenge wewe u adhani Mohamed Al Sinwar kafa zamani kumbe yule mnaye mdhania Abu Obaida ndiye Mohamed Al Sinwa,r na Hamas wametoa pale pale film kuonyesha yeye kafa kama wenzake

Mnajiuno mlivyo wajinga mnadhani Mohamed Al Sinwar kafa zaman kumbe kafa pamoja na watoto wa Abu Obaida.
 
Nijuavyo Mimi Hamas baada ya kuuwawa Gaidi huyo walikaa kimya walijifanya mabubu Baada ya kuuwawa Gaidi Abu Obaida ndipo iliwabidi waseme!!!

Kama Hamas walikiri hadharani kuuwawa kwa kibaka huyo Niwekee hapa link nami niione!!!
 
MTU MWEUSI YEYOTE NI NGOZI YA TAA CALL....HUWEZI KUKATAA UHALISIA WAKO
Waafrika tatizo sio ngozi ila ni akili. Ingekuwa tumepiga hatua kubwa za maendeleo, pengine hata hizi kauli zisingekuwepo. Mara nyingi, weusi/ uafrika ni uwakilishi wa uovu, ujinga, udhaifu, ukosefu wa ustaarabu n.k. Sijui ni lini ila kuna ulazima wa kurekebisha hii mitizamo.
 
Wewe mwenyewe una akili za kitumwa sijui unalalamika nini Sasa!!!
 
Waafrika tatizo sio ngozi ila ni akili. Ingekuwa tumepiga hatua kubwa za maendeleo, pengine hata hizi kauli zisingekuwepo. Mara nyingi, weusi/ uafrika ni uwakilishi wa uovu, ujinga, udhaifu, ukosefu wa ustaarabu n.k. Sijui ni lini ila kuna ulazima wa kurekebisha hii mitizamo.
fuatilia vizuri,sehemu yeyote kama kuna ngozi ya taa call mambo yanaharibika....wazungu wataalamu bana
 
Ukipita kwenye huu Uzi utaona Kuna magaidi yame anza kuangua vilio uku ya kibubujikwa na michozi ya damu kufurahia kuwaishwa akhera kwenda kuwahi mabikra 72 firdaus
Taqbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiir
 
Back
Top Bottom