Hatimaye DK SLAA arejea

Karibu baba uikomboe CHADEMA kutoka kwa mkoloni wake EL.
 
mkuu siasa sikuwahi kufikiria kama upinzani wangempokea lowassa
Wamegundua hana dosari ndo mana.
Mpakaleo ile mahakama ya maficemmafisadi inamuogopa hata kum

Hawamuiti na hawatomuita.
Pombe hasira zake ndo anamalizana nae kwa kuvunja jengo lake kumtia hasara.
Wananchi wa ubungo watamjibu tu.
 
Kwani CHADEMA bado mnalitaka hili jembe? Si mlisema chaninini jamani!?
 
Post ya mwaka jana hii jamani...Naona mmekazana kupost tu,...Haihusiani na kipindi hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…