barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,870
Hatimaye Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda,amewakabidhi walimu vitambulisho vya kusafiri bure wakati wa kwenda na kutoka shule katika Wilaya ya Kinondoni.Vitambulisho hivyo vimeanza kutolewa kwa "mfano" kwa Walimu wa Shule ya Sekondari Turiani iliyopo Wilaya ya Kinondoni.
Makonda ametoa vitambulisho hivyo ambavyo vina picha ya mwalimu na sahihi ya Paul Makonda kama DC wa Kinondoni.