Hatimaye Chadema yawanasa polisi

Hatimaye Chadema yawanasa polisi

hoyce

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
1,117
Reaction score
298
Ule utetezi wa Chadema bungeni kwenye bunge la bajeti umekubalika. Serikali imeondoa kodi zote kwenye vifaa vya ujenzi (polisi) ili askari wa kada zote waweze kujenga nyumba na kuacha kuishi katika full sute za mabati au zilizotengwa kwa pazia. TRA leo walikuwa hapa CCP Moshi kuwaeleza askari wanaoingia mitaani kuwa wameula na hawana sababu ya kuigomea serikali yao sikivu. Tunamshukuru Mh. Godbless Lema kwa utetezi wake.
 
Wangefanya hivyo kwa watumishi wote wa uma ngazi za chini.
 
hiyo kweli ni habari njema askari sasa wajenge kama ilivyokusudiwa na sio wageuke wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi
 
Tukisema siku zote magamba hawana akili watu mnalalamika. Haya mambo cdm waliyapigia kelele sana. Finally magamba wameamua kudesa live, duuuuh!
 
hiyo kweli ni habari njema askari sasa wajenge kama ilivyokusudiwa na sio wageuke wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi
Hawataacha wanajeshi wanauza mitaani bia zao zenye nembo sembuse vifaa vya ujenzi.
 
ni mwanzo mzuri....mmh wahamie kwenye taasisi nyingine za sirikali
 
Kwanini kwa polisi pekee!itakuwa na maana zaidi kama itawahusu watumishi wote
 
Ule utetezi wa Chadema bungeni kwenye bunge la bajeti umekubalika. Serikali imeondoa kodi zote kwenye vifaa vya ujenzi (polisi) ili askari wa kada zote waweze kujenga nyumba na kuacha kuishi katika full sute za mabati au zilizotengwa kwa pazia. TRA leo walikuwa hapa CCP Moshi kuwaeleza askari wanaoingia mitaani kuwa wameula na hawana sababu ya kuigomea serikali yao sikivu. Tunamshukuru Mh. Godbless Lema kwa utetezi wake.
ka ni hivo hapo kwenye red tunataka KATIBA MPYA
 
why Polisi tu na Walimu je?
Nahisi hii ni tactic nyingine ya Magamba ya kuwataka Polisi watekeleze kila wanalotumwa... Hata kama linakiuka katiba
 
Haya Chademaaaaaaaaaaaaa Vema .Kasi imeanza sijui watasemaje ?
 
Naungana na wewe iyo itakuwani thanks 2010-2015 ili wasiwe na sauti


why Polisi tu na Walimu je?
Nahisi hii ni tactic nyingine ya Magamba ya kuwataka Polisi watekeleze kila wanalotumwa... Hata kama linakiuka katiba
 
"Divide and rule", .......CCM is trying to grab a straw!

Ule utetezi wa Chadema bungeni kwenye bunge la bajeti umekubalika. Serikali imeondoa kodi zote kwenye vifaa vya ujenzi (polisi) ili askari wa kada zote waweze kujenga nyumba na kuacha kuishi katika full sute za mabati au zilizotengwa kwa pazia. TRA leo walikuwa hapa CCP Moshi kuwaeleza askari wanaoingia mitaani kuwa wameula na hawana sababu ya kuigomea serikali yao sikivu. Tunamshukuru Mh. Godbless Lema kwa utetezi wake.
 
Ule utetezi wa Chadema bungeni kwenye bunge la bajeti umekubalika. Serikali imeondoa kodi zote kwenye vifaa vya ujenzi (polisi) ili askari wa kada zote waweze kujenga nyumba na kuacha kuishi katika full sute za mabati au zilizotengwa kwa pazia. TRA leo walikuwa hapa CCP Moshi kuwaeleza askari wanaoingia mitaani kuwa wameula na hawana sababu ya kuigomea serikali yao sikivu. Tunamshukuru Mh. Godbless Lema kwa utetezi wake.

Ni hatua nzuri lakini madhara yake ni makubwa sana kwa mfano kwa sasa wanajeshi wanatakiwa wauziwe vifaa kwenye maduka ya jeshi ambavyo havijalipiwa kodi, matokeo yake wamepewa wahidni hayo maduka wanaingiza vifaa visivyo na kodi na kupeleka kwenye maduka yao ya mjini, na kule jeshini wanakwenda kutafuta Poor quality Products grade ya mwisho ya China ndizo wanaziweka na wanawauzia wajeshi kwa bei ya ajabu eti wanawakopesha!!! Ukitaka mfano nenda pale Navy kigamboni au Lugalo kwenye duka lao uone kinachouzwa
 
kama hawatawaodolea wafanyakazi wote itakuwa ni ubaguzi au rushwa kwa askari ili kulinda maovu ya serikali yao, Sie tutanunua kwa hao maporisi
 
Back
Top Bottom