Hatimaye Chadema yawanasa polisi

hoyce

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
1,117
297
Ule utetezi wa Chadema bungeni kwenye bunge la bajeti umekubalika. Serikali imeondoa kodi zote kwenye vifaa vya ujenzi (polisi) ili askari wa kada zote waweze kujenga nyumba na kuacha kuishi katika full sute za mabati au zilizotengwa kwa pazia. TRA leo walikuwa hapa CCP Moshi kuwaeleza askari wanaoingia mitaani kuwa wameula na hawana sababu ya kuigomea serikali yao sikivu. Tunamshukuru Mh. Godbless Lema kwa utetezi wake.
 
Tukisema siku zote magamba hawana akili watu mnalalamika. Haya mambo cdm waliyapigia kelele sana. Finally magamba wameamua kudesa live, duuuuh!
 
ni mwanzo mzuri....mmh wahamie kwenye taasisi nyingine za sirikali
 
Ule utetezi wa Chadema bungeni kwenye bunge la bajeti umekubalika. Serikali imeondoa kodi zote kwenye vifaa vya ujenzi (polisi) ili askari wa kada zote waweze kujenga nyumba na kuacha kuishi katika full sute za mabati au zilizotengwa kwa pazia. TRA leo walikuwa hapa CCP Moshi kuwaeleza askari wanaoingia mitaani kuwa wameula na hawana sababu ya kuigomea serikali yao sikivu. Tunamshukuru Mh. Godbless Lema kwa utetezi wake.
ka ni hivo hapo kwenye red tunataka KATIBA MPYA
 
why Polisi tu na Walimu je?
Nahisi hii ni tactic nyingine ya Magamba ya kuwataka Polisi watekeleze kila wanalotumwa... Hata kama linakiuka katiba
 
"Divide and rule", .......CCM is trying to grab a straw!

Ule utetezi wa Chadema bungeni kwenye bunge la bajeti umekubalika. Serikali imeondoa kodi zote kwenye vifaa vya ujenzi (polisi) ili askari wa kada zote waweze kujenga nyumba na kuacha kuishi katika full sute za mabati au zilizotengwa kwa pazia. TRA leo walikuwa hapa CCP Moshi kuwaeleza askari wanaoingia mitaani kuwa wameula na hawana sababu ya kuigomea serikali yao sikivu. Tunamshukuru Mh. Godbless Lema kwa utetezi wake.
 
Ule utetezi wa Chadema bungeni kwenye bunge la bajeti umekubalika. Serikali imeondoa kodi zote kwenye vifaa vya ujenzi (polisi) ili askari wa kada zote waweze kujenga nyumba na kuacha kuishi katika full sute za mabati au zilizotengwa kwa pazia. TRA leo walikuwa hapa CCP Moshi kuwaeleza askari wanaoingia mitaani kuwa wameula na hawana sababu ya kuigomea serikali yao sikivu. Tunamshukuru Mh. Godbless Lema kwa utetezi wake.

Ni hatua nzuri lakini madhara yake ni makubwa sana kwa mfano kwa sasa wanajeshi wanatakiwa wauziwe vifaa kwenye maduka ya jeshi ambavyo havijalipiwa kodi, matokeo yake wamepewa wahidni hayo maduka wanaingiza vifaa visivyo na kodi na kupeleka kwenye maduka yao ya mjini, na kule jeshini wanakwenda kutafuta Poor quality Products grade ya mwisho ya China ndizo wanaziweka na wanawauzia wajeshi kwa bei ya ajabu eti wanawakopesha!!! Ukitaka mfano nenda pale Navy kigamboni au Lugalo kwenye duka lao uone kinachouzwa
 
kama hawatawaodolea wafanyakazi wote itakuwa ni ubaguzi au rushwa kwa askari ili kulinda maovu ya serikali yao, Sie tutanunua kwa hao maporisi
 
Back
Top Bottom