Wakuu!
Heshima kwenu.
Kwa siku kadhaa baada ya kufuatilia mikutano ya Bunge la Bajeti sikuamini macho na masiko yangu baada ya kuona kwamba CCM kuanzia asubuhi mpaka jioni kila siku, ina kazi ya kujibu na kujieleza mbele ya hoja za CHADEMA. Na kwa vile CCM haina majibu ya kweli na uhakika, wabunge wake wanaishia kuporomosha matusi ambayo watu wenye busara zao hawawezi kukaa kwenye vyombo vya habari na kusikiliza hoja za wabunge wa CCM.
Naamini wameamua kujipa uzoefu, maana wamesha jua kwamba 2015 ndio hasa sehemu yao pale CHADEMA itakapo kuwa inawajibika kwa waTanzania baada ya kuchukua DOLA.
Kwa washindwa msinipige Mawe tafadhali.