Hatimaye ccm yageuka chama cha upinzani bungeni

Hatimaye ccm yageuka chama cha upinzani bungeni

Mbona watakimbia nchi!!!!! Hebu subiria Jumamosi Makamanda watakavyo piga KENGE KICHWANI HADI DAMU ITOKE MASIKIONI. Hapo ndiyo utajua Kenge kafa.

Ha! Ha! Ha! Ha! Wee ni noma kumbe umeshtukia issue du !
 
Practice makes perfect wanachukua zoezi si unajua 2015.mwigulu nchemba atakuwa msemaji rasmi wa kambi ya upinzani.
Bahati mbaya sana mbunge wa CDM ndiye atakuwa bungeni toka jimboni kwake. Mwigulu atakuwa anaingia bungeni kama mgeni, kama atakuwa hajafungwa kwa makosa yake mengi.
 
wameamua watoa cdm ili wabaki na mchemba akijipandisha stim kwa kujidanganya huku akipokea echo za gamba ingine.

Itabidi tumia akiki sana kwani itabidi wamtoe mnyika atakapo geuza bunge mguu juu kichwa chini awaache wakilia wenyewe km wagoni.
Cc km wanafunzi wa chuo cha mataahira ktk presentation..
 
Mfano mzuri ni jioni ya leo, yaani pamoja na kwamba majembe sita yapo nje ya bunge, Mnyika amesababisha maCCM yatumie rasilimali zote kujibu hoja zake, kuanzia Mwanasheria, mawaziri wa ofisi za rais, wabunge maCCM wanaotafuta uwaziri hadi kitimoto chenyewe cha speaker

Tangu wasira amwambie ester bulaya ni cdm,anajitutumua kweli
 
Mwigulu atauota ubunge tu maana 2015 ni mwishowe panga pangua ndilo lengo no.1 la CDM
 
Back
Top Bottom