Hahahaaa huyu jamaa haniweziWewe Erickb52 unatafuta bifu eeeenh??? ngoja aje.
Chezea masifa?
Hahahaaaa ana madeni hadi kwa mama mwenye nyumba na vimwana wake bado wanakomaa wanataka mahitaji na FINCA hawamwachiiii
London ataendaje Mwanyasi ?Ni muda mrefu namtafuta Bishanga hapa jukwaani
kumbe kafulia kiasi hicho?????!!!!!!!!!
Akchware nilidhani bepari kaenda London kwenye mambo ya biznes kumbe daaah!
Embu toa mwongozo tunamchangia?
Hivi huyu si ashawahi kuwa mumeo?
Msaidie please anadhalilika...!
Kwanza pia nimesikia wanamchunguza pesa zake kama sio za Moto!Ziko tetesi huyu cha-pombe Bishanga amepigwa P. I (Prohibited Immigrant) ktk operatio kimbunga!
Kwamba nyaraka zake za kuomba uraia haziko sawa. Mi sija confirm by the way!
Hujajua Biashara matangazo Mwanyasi ?Unamaanisha kwenye avatar yake amepiga picha na bidhaa zake?
Halafu wewe ni jeuri kumzidi, kumbe umezaa na mkewe the Scretary?!!!