Hatimaye barabara Pamba yaanza kukarabatiwa

Ule mlima si nasikia wameununua!!
 
Nimeiona,mbaya zaidi hakuna mchepuko,hadi uzunguke weee,ah!wanaweka viraka tuuu!

mkuu nimepita hapo muda huu eti wanafunga barabara kwa kuziba viraka what a shame!!!!
 
Reactions: ram
JASCO wamechukua hio tenda ya kuziba mashimo
 
kuziba viraka kunaendana vip na kufunga barabara?
na ile barabara yote si imejaa mashimo?
 
Aahahahahhhhh, eti itangazwe janaga la kitaifa, mradi wa wakubwa huo....

Pamba rd itangazwe kuwa janga LA kitaifa haiwezekani huwe no mgodi wa kujichotea pesa tu mwanza mwanza ni shamba LA bibi
 
Yaani ni aibu, hivi kila mkurugenzi anaekuja mwanza hapo ndio pakupitishia hela zao eeh

mkuu nimepita hapo muda huu eti wanafunga barabara kwa kuziba viraka what a shame!!!!
 
Jamani wewe Zamiluni Zamiluni, huko unaosema kuna barabara ya gari? Huko ni njia ya watembea kwa miguu, sina hakika hata kama baiskeli zinapita huko relini
Mkuu ram, Juzi nimetoea MWZ... nimevumbua njia mpya huko Bugando inateremkea igogo hadi VOIL, hata gari inapita kwa wepezi...barabara ya mawe yalopangwa kwa kusindikwa level imara kabisa...HONGERA !!
 
Mkuu ram, Juzi nimetoea MWZ... nimevumbua njia mpya huko Bugando inateremkea igogo hadi VOIL, hata gari inapita kwa wepezi...barabara ya mawe yalopangwa kwa kusindikwa level imara kabisa...HONGERA !!

Aisee! Hiyo ni habari njema mkuu, coz hii barabara ya kwenda nyegezi Lori likifunga barabara hapo igogo ndio basi tena
 
Jmosi nitapita huko na baby walker yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…