kama sura ya ethiopia vile
Ila honestly kuna wasichana wana sura..dah!!
Kwa namna alivyovaa pasi na shaka huyu atakuwa ni Mnyarwanda au Mrundi...
Mpwa kweli ume quote kwa ajili ya vazi na utaifa??????!!!!
Mpwa mengine tunakula kwa macho tu...au sijui tuombe namba ya simu na kuingia twisheni ya Kinyarwanda
she is cuteeeee.
Umeona eehh? Watoto wazuri sana aisee! Kuzaliwa mwanaume eeehh...Wengine acha tubaki kula kuona, kumeza hisia, kushiba imani!Ila honestly kuna wasichana wana sura..dah!!