Duu, mkuu lakini ilikuaje unaacha Mia 9 inaning'inia kwenye suruali kirahisi rahisi hivyo, hiyo pesa unaingia ndani unaihifadhi sehemu salam, hata paka akikuangalia unaacha kwanza.
Duu, mkuu lakini ilikuaje unaacha Mia 9 inaning'inia kwenye suruali kirahisi rahisi hivyo, hiyo pesa unaingia ndani unaihifadhi sehemu salam, hata paka akikuangalia unaacha kwanza.
Hivi umewahi kuibiwa kweli last king!??Ko unajipongeza..wewe neno Msamaha hulijui
MKUU HATA PAKAA HUTAKIWI KUA NA IMANI NAEE SIOOO
Kati ya wanyama sijawahi kua na imani nao ni paka...Paka wabaya, unaweza kuta ndo anapeleka taarifa kwa wajuba mahali ulikoficha.
hamna wanyama wenye aibu duniani km jamii ya mapakaKati ya wanyama sijawahi kua na imani nao ni paka...
Mkipigana macho tuu unagundua kabisa hili lina waza mabaya, na ukimkazia macho anaona aibuu.
nidanganye ili nipate nin mzee. Sikua na wazo la kuibiwa siku hiyo hiyo pesa ilikua nikaiweke bank kesho yake asubuhi. Wazee wakapita nayo. Jamaa amechomwa moto Kibamba tu hapo. Lakin ni mkazi wa Kibaha maili moja. Kwa wenyeji wa maeneo hayo watakua wamelisikia hilo tukio.Hii ni chai kabisa. Huwezi kuacha hela nyingi kiasi hicho kwenye suruali. Mimi hata iweje nilishindwa kabisa kutoa wallet au pesa mfukoni Ni Bora hiyo suruali niitupe uvunguni au niiweke chini usawa wa dirisha
ππππππDuu, mkuu lakini ilikuaje unaacha Mia 9 inaning'inia kwenye suruali kirahisi rahisi hivyo?
Hiyo pesa unaingia ndani unaihifadhi sehemu salam, hata paka akikuangalia unaacha kwanza, kati ya wanyama sijawahi kua na imani nao ni paka.
Alafu kweli aisee yaani paka ukimuangalia na yeye anakuangalia tena anakukazia macho kabisaDuu, mkuu lakini ilikuaje unaacha Mia 9 inaning'inia kwenye suruali kirahisi rahisi hivyo?
Hiyo pesa unaingia ndani unaihifadhi sehemu salam, hata paka akikuangalia unaacha kwanza, kati ya wanyama sijawahi kua na imani nao ni paka.