Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,726
acha wehu wako, sio kila chama ni ccm.au unataka wote tuwe wachaga ndio uridhike
Haka ni kachama ka wana ccm wapingao ufisadi
ha haaa ha ha ha ha umejuaje? eneza sera Mkuu.Naona unaendeleza uPOMPO wako tena, "mumeo Mtatiro" ndio nini tena hiyo? Au chama CHAKO unachokishabikia kina sera za ukameruni?! Hivyo kila unayemuona unamtazama kwa muono huo?
Mheshimiwa Rashid Hamad (Mweye chama) atakuwepo hapo Lamada? ama ndiyo bado anafanya unafiki? Kwani tunajua yeye ndiye mwenye chama na nyie wengine wote ni watumishi tu.
Sobodo siyo Mlezi wa CDM ni kada wa siku nyingi wa CCM anachokifanya ni kuchangia CDMNDIO.......MHE. Hamad Rashid Mohamed ni mlezi WA ADC Kama alivyo Sabodo kwa Chadema.
kwa huko Pemba na hasa Wawi it is possible mkuuSasa hv unaona ni kachama Yaaani kadogo but soon utaliita LICHAMA yani litakua likubwa mno!
"Mficha maradhi,kifo humuumbua"NDIO.......MHE. Hamad Rashid Mohamed ni mlezi WA ADC Kama alivyo Sabodo kwa Chadema.
Makao yake makuu yapo Masjid gani?Naona unaendeleza uPOMPO wako tena, "mumeo Mtatiro" ndio nini tena hiyo? Au chama CHAKO unachokishabikia kina sera za ukameruni?! Hivyo kila unayemuona unamtazama kwa muono huo?
Nnachoelewa mie ni kuwa wanaouawa huwa wanapigwa risasi na askari wa serikali ya CCM, meli zinazozama baharini ni kafara za kuimarisha utawala wa jamaa zetu...labda useme lingine.I hope nyie sie kile chama cha kaskazini kama cha wenzetu fulani wapenda vurugu na kutofuata sheria. Ila hiyo rangi nyekundu kwenu yamaanisha nn? kwani kwa wenzenu ina maana ' TUTAMWAGA DAMU KWA NJIA YOYOTE ILI MRADI TUINGIE IKULU'.
ADC, Mtasimaisha mgombea Igunga na Arusha Mjini kwenye chaguzi ndogo za ubunge.
Naam, chama Chetu kimepokelewa vizuri mno na waTanzania kimekubalika sasa ni Wajibu wetu kuelekeza nguvu zetu kila eneo Kama njia pekee ya kufikia malengo yetu ya Kushika dola. Na sio kwenye nafasi za Ubunge tu, tunataraji kusimamisha hata wagombea WA Udiwani kwani kuna kata nyingi tu zilizoko wazi.......tutasimamisha wagombea inshaallah.
Si mna ruzuku ya uvunguni kutoka kwa mfadhili - CCM.Tunaanza na Bububu Znz ndio mtajua ADC iko vipi.....hatubipu sisi.