my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Labda anaolewa na celebrity mmoja wapoSawa unaolewa.
Ndio uweke jukwaa la celebrities?
😂Furaha imezidiSawa unaolewa.
Ndio uweke jukwaa la celebrities?
Hongera na kila la heri mkuu!Kuanzia jana nahisi mimi ndo mtu mwenye furaha sana dunia nzima lol! Baada ya kua kwa relationship miaka 2 na miezi 5 sasa tunaoana tarehe 30 mwezi wa 7.
Huyu kaka angekua mswahili ningesema ameniroga maana nimetulia sana kwa hii relationship mpk mwenyewe najishangaa. Japo kumekua na matatizo madogo madogo kati yetu lakini kukiwa na na mapenzi ya Kweli, mtu ukipenda na ukipendwa everything is possible
Kwenye huu uhusiano nimejifunza uvumilivu ktu ambacho nilikua sina ata kidogo. Sijui ndo nimekua sijui ni mapenzi ata sielewi. I'm glad that I met this guy. Ni mpole, hana mambo mengi, sio mtu wa kujichanganya, hanywi pombe na havuti sigara. Sijui nieleze vipi ila nina furaha sana
Pia mwamba asisahau ule msemo.... Tuishi nao kwa akiliUna miaka mingapi
Una furaha sio tatizo ila jua kabisa shetani hana tatizo na couple zinazopendana ila tatizo kweny ndoa mkiingia anahamia hapo
Kikubwa uvumilivu mumeo awe kichwa cha familia na mweny kauli ila ukijifaya kama ukoo wa kambale kila mtu ana ndevu hamtodumu
Umemuokota wapi huyoKuanzia jana nahisi mimi ndo mtu mwenye furaha sana dunia nzima lol! Baada ya kua kwa relationship miaka 2 na miezi 5 sasa tunaoana tarehe 30 mwezi wa 7.