Hatimae suluhisho lapatikana

Dah, wagen wengine bhana! Huyu jamaa nlimpa hifadhi tu jana, keshafotoa mpaka huko na kuleta humu, usije tena kwetu......
 
Hahaa ubunifu.... na kwenye baridi hapo kwenye shower sijui ataweka nini bila kutumia umeme .....
 
duuh! kwa nin mnapang'ang'ania sana hapo, c mhame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…