babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,314
Mshirika wa kesi ya Zombe amehukumiwa kunyongwa hadi kufa kufatia mauaji ya wafanya biashara wa madini kinondoni
Anataka awe wa kwanza kupost..Mleta taarifa hukuwa makini.
Sio zombe ndio aliyehukumiwa ila mwingine
Yeah.....Anataka awe wa kwanza kupost..
Mahakama inamuachaje Zombe wkt ushahidi ubaonyesha alishiriki hatua mbalimbali mpk kuandaa ushahidi wa uongo kwa tume iliyoundwa kufuatilia suala hilo
Ww ndio hauko makini amesema mshirika Wa zombe ambaye ni bageni sasa sijui ww unaelewa usku au mchanaMleta taarifa hukuwa makini.
Sio zombe ndio aliyehukumiwa ila mwingine
Amerekebisha....baada ya sisi kumstuaWw ndio hauko makini amesema mshirika Wa zombe ambaye ni bageni sasa sijui ww unaelewa usku au mchana