Hatimae nimejiunga Jamiiforums

Hatimae nimejiunga Jamiiforums

Karibu mgeni, nitakuonyesha kila jukwa nitakushika mkono,
Ahsantee jaman

Ayaa anza kunitembeza kila jukwaa sasa ila Kule wanakoandika kidhungu ucnipeke tafadhali
 
Mnipokee humu niwe mmoja wenu(Mwanafamilia ya jamii forums)
Haya ,chukua hizo zawadi zako za sikukuu
1b96790f497ee2c461ac0174888c63d6.jpg
b18006d078968af72dbbbd716f4f57d0.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom