Yaani tunaona kila aina ya upigaji Halafu wanaweka wazi kama sifa vile
Kuna bwawa lilitengewa 600m jamaa anakabidhi kidimbwi cha maji tena kachimbua kwa mkono [emoji23][emoji23]
Waziri nae eti Takukuru mchukueni huyu hajui huko anaenda kuwapa chao pia
Yaani tunapigwa kifala kweli