Japo haikuwa rahisi kivile nashukuru mungu nimefanikiwa kuhamia kwangu
Kweli nimeamini ukiwafatilia sana walimwengu haujengi vitisho vingiiii hasa hawa mafundi wa mitandaoni kitu Cha laki atakwambia laki Saba