Hatimae Naona Kama 1+1 = 2 Inaleta Maana


Acha kujiabisha,umesoma kichwa cha habari tu utasemaje ameandika Pumba?
 

Hivi Diamond ana kolabo ngapi na wasanii wa marekani? Saa nyingine ni bora ukakaa kimya kuliko kuonyesha ujinga wako mbele za watu.
 
Hoja ya kumtafutia collabo Marekani huitaki tena manake hujagusia kabisa!!!!

Turudi hilo la jicho la fursa! Unataka kuniambia Diamond alimwambia Davido na Iyanya wasifanye collabo na Ommy Dimpoz? Nini kilisababisha asifanye nao? Suala la collabo ya Diamond na Iyanya/Davido lilimzuia vipi Dimpoz na yeye kufanya nao collabo? Nimetoa majina ya wasanii kadhaa hapa waliofanya collabo na same artist... nini kilimfanya Dimpoz asifanye? ALISUSA? Au unayozungumzia alijua akimpa nafasi ni hilo suala la Marekani? Kama ndivyo; hivi unataka kuniambia baada ya kuona utamu wa collabo na Davido, hakuwatamani hao wanamuziki wa Marekani? Kwanini hakufanya nao?

Kuhusu Baraka na Kiba; ile haikuwa safari ya kishikaji au haikuwa ya kukurupuka kwenda SA kutafuta collabo! Ile ni safari ya kiofisi kabisa... msome hapa Seven:
 

Nisaidia ufafanuzi katika haya;

1. Kwa nilivyoelewa ni kwamba Dimpoz aliona akae mbali na Simba kwasababu jamaa ana roho mbaya hataki mafanikio yake; sasa kwanini it has been two years since wako mbali mbali, kwanini dimpoz hajatumia hilo "jicho la fursa" alilonalo kutafuta hizo collabo mpaka leo???

2. Kama Simba ndio alikuwa anafanya figisu Dimpoz asifanikiwe, kwanini kipindi dimpoz yule karibu na Simba alikuwa anashine na baada ya kukaa mbali naye amekuwa doro.?? Maana nilidhani ilitakiwa iwe vice versa.. Kama alikuwa anabaniwa kipindi kile na bado alikuwa juu kimuziki, sasa hivi kama habaniwi tena na Simba si ndio alitakiwa awe hakamatiki kimuziki???

3. Mkitaka kujua unafiki wa huyu dimpoz anavyodai leo kuwa amesaidiwa zaidi na kiba kipindi yuko underground! Hebu nendeni YouTube tafuteni video ya siku ya kwanza alipopanda kwenye jukwaa la KTMA kupokea tuzo ambapo alipanda jukwaani na simba na wote wawili wakaongea! Hebu nendeni mkaandilie ile video alafu mje mniambie kuwa Dimpoz sio mnafiki na snitch..

Nijibu haya kwa sasa!
 
Sasa kati ya mimi na wewe kichaa nani? Umefahamu vipi kwamba ni pumba wakati umeishia kusoma kichwa cha habari tu? Inawezekana walikuachai kimakosa Milembe; bado una matatizo ya akili... kwaheri!!
 
Kaka nilikuwa namuongelea uyo jamaa anajiita mchambuzi lbd hukunielewa
Samahani zangu zikufikie hapo ulipo basi... ndo hivyo tena jukwaa likichemka; mambo ya kutoelewana lazima yatoke! I hope you don't mind...
 
Kama hujui kitu ebu uliza kwanza acha kupotosha
Collabo ya joh makini ft chidima
Joh makini alimlipa chidima tena joh makini mwenyewe alisema ilibidi amlipie chidima na timu yake hadi gharama za usafiri business class kutoka nigeria hadi south africa kushoot video.
Joh makini ft AkA
Hii collabo hadi kesho anamshukuru diamond kwa kumfanyia wepesi na kuruhusu kufanyika kwa collabo ukumbuke AKA alikuja bongo aliletwa na diamond kwenye zari white party diamond alimgharamia AKA kila kitu, AKA baada ya kisikia nyimbo za joh makini kwenye xxl ndipo adam mchomvu akamuomba AKA,
Diamond akasema haina tatizo yeye atafanya nae baada ya party kuisha
 
stupid allegation unatumia nguvu nyingi na maneno mengi kudiscuss kijisehemu cha dakika moja kwenye interview,ndio tatizo watu wa d hamshauri vizuri mnamtumia kwamanufaa yenu wenyewe sio kwafaida yake
 
HIZI NDO COLLABO BORA ZA KIMATAIFA ALIZOFANYA AY TENA BURE

1. ay ft romeo buree
2. ay ft p.square buree
3. ay ft ms trinity buree
4. ay ft sean kingstone bure
5. ay ft saut soul buree
6. ay ft goldie buree
 
POINT YAKO NINI HASWA?
 
HUYU SALLAM NI MUONGO SANA CONNECTION YA DIAMOND NA DAVIDO NI AY NDIYE ALIYEFANYA,MKUMBUKE PIA COLLABO YA OMMY DIMPOZ NA J.MARTIN PIA AY ALIHUSIKA,HUYU MENEJA ATAKUWA KILAZO KWELI HANA UWEZO WA KUMTENGENEZA MTU COLLABO AACHE UPUUZI
 
stupid allegation unatumia nguvu nyingi na maneno mengi kudiscuss kijisehemu cha dakika moja kwenye interview crazy bald head kabisa,ndio tatizo watu wa d hamshauri vizuri mnamtumia kwamanufaa yenu wenyewe sio kwafaida yake
Nonsense! Eti kijisehemu cha dakika moja....! Yaani mtu akikuwekea time range ya sekunde 10 ndo unadhani habari husika ipo within 10 seconds pekee?! By the way, kama shida yako ni kuandikwa sekunde kwa sekunde; umekatazwa kuandika?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…