Mkumbavana
Member
- Jan 24, 2012
- 79
- 22
Keshatafuta wa kummsliza hamu yake, thats why kakwambia hivyo...... Kalaghabhao.....!!!!!
Kusoma kujui, hata picha hauioni?
Kweli sasa naamini katika huu msemo "mwanaume mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe" i thought ni wanawake tuu, i was VERY wrong!!!
Kuoa uoe wewe, shida za kutuletea utumbo utupe sisi.
Kwani tulikutuma uoe?
inaelekea hujui wajibu wakobaaada ya kukata mawasiano ya tendo la ndoa na mke wangu na yeye kuniambia nimtaftie mwanamume wakumliwaza
nawewe unajidai mshindii,jiulize imeishaishaje?ile hamu alokuwa nayo imeisha.
HATIMAYE mke wangu kuniomba samahani kwa upole na unyonge na kuniambia kuwa hatorudia tena kuniambia maneno kama yale na ile hamu alokua nayo imeisha.
Hahhaaaaaa kweli wewe mume zoba.....
Hujiulizi hiyo hamu ya mkeo imeishaje?
Hahahahahahahaaaa
ndo maana mliambiwa muishi nao kwa akili.....
Pole sana......mweh
Keshatafuta wa kummsliza hamu yake, thats why kakwambia hivyo...... Kalaghabhao.....!!!!!
Kusoma kujui, hata picha hauioni?
Kweli sasa naamini katika huu msemo "mwanaume mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe" i thought ni wanawake tuu, i was VERY wrong!!!
umeonaee, halafu linajipongeza linajidai lishindi,,zuzu kweliHahhaaaaaa kweli wewe mume zoba..... Hujiulizi hiyo hamu ya mkeo imeishaje? Hahahahahahahaaaa ndo maana mliambiwa muishi nao kwa akili..... Pole sana......mweh