Hatimae "M" wengine waanza kujitokeza

Na M2. nipo hapa ndani ya JF hahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
mkuu inasemekana hata shetani alipotimuliwa na mungu , kuna mapepo yalimfuata ! ndiyo haya unayoyasikia yakiitwa maruhani n.k .
 
Kuugundua ugonjwa ni nusu ya matibabuu, ccm wanajua kuwa bila chadema kufa 2015 ndio mwisho wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…